Recent content by kifii sheria

  1. kifii sheria

    JamiiForums Tanzania Download vitabu bure hapa

    karibu mkuu
  2. kifii sheria

    JamiiForums Tanzania Download vitabu bure hapa

    Vipo vingine kama kumi hivi vitasambazwa bure, tunataka watu wapate uelewa. muda si mrefu tukikamilisha tutaziweka hapa.
  3. kifii sheria

    JamiiForums Tanzania Download vitabu bure hapa

    Kwa wanafunzi na wale wanaoanza practice ya criminal, hizi zinatumiwa kama checklist kwenye trial Subordinate na High Court na appeals High Court na Court of Appeal. unaweza kuokota kitu.
  4. kifii sheria

    JamiiForums Tanzania Typing tutor inahitajika

    Tafadhali, kwa mwenye typing tutor iliyo bora kama Mavic Becon au nyingine yeyote naomba tuwasiliane. inahitajika haraka sana. thanks.
  5. kifii sheria

    JamiiForums Tanzania Watoto wakikukataa mzazi achana nao upambana na maisha yako

    majadiliano na mapatano ni dawa ya kila ugomvi.
  6. kifii sheria

    JamiiForums Tanzania Uzinzi ni dhambi lakini si kosa kisheria

    nakubaliana na mtoa mada. 1. Uzinzi ni dhambi, hilo halina mjadala kwasababu vitabu vya dini vinaeleza hilo. uzinzi maana yake ni kufanya mapenzi na mtu asiye mke wako (kwetu sisi wanaume). 2. uzinzi ni kosa la jinai kama umeufanya na mwanamke kwa kulazimisha (bila ridhaa yake). adhabu yake...
  7. kifii sheria

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu Hati ya Mashtaka

    mamlaka gani isiyo halali inayoweza kuandaa hati ya mashtaka, kwa mfano.
Back
Top Bottom