Recent content by kifaruu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

    Kuwa na heshima na Rais tutakufuatilia unayedhalilisha taasisi kubwa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Nilipoachiwa nchi niliogopa lakini nashukuru Rais umerudi na nchi ni salama kabisa

    Ni kweli ila kwa kusema hadharani vile ina maana hajiamini
  3. K

    JamiiForums Tanzania Machinga wasilete siasa waondolewe haraka miji yote Tanzania

    Tuacheni kutetea vitu ambavyo havina tija.waende wanapoelekezwa sisi walaji tutawafuata mji umechafuka mnoo
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO siwaelewi kuhusu makato ya kodi ya majengo

    Hili suala la TRA mkuu Tanesco ni Gate tuu ya kupitia mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto Akataa shule; Bora aende jela

    Uko sahihi kwa umri huo lazima kuna kitu kime mdissapoint haiwezekani awe mkaidi hivyo.wazee wake wamfuatilie na kwenda naye taratibu arejee skul
  6. K

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

    Acha kumfananisha mama na mwendazake kila mtu na wakati wake mwacheni afanye kazi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

    Inaonekana ushungi inakukera mno na bado mitano tena
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia punguza dharau kwa unaowangoza, hazitokusaidia chochote

    acha kudemka usubuhi hii na kelele zako.Piga kazi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani usikubali Mgao wa Umeme Dar

    Amekusikia atakuja kuwahudumia wakazi wa Dar.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vipi updates za Bodi ya Mikopo (HESLB) kuhusu Value Retention Fee (VRF)?

    Unaionaje hiyo account mdau
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

    Hivi unaelewa maana ya neno asalaam aleykum?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

    Inapokea umeme kutoka mita ya Tanesco.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

    Naomba niwape elimu kidogo juu ya submeter.Submeter si mali ya Tanesco.Tanesco inawateja wake wakubwa ambao anaitwa T2 na T3.Hawa wengi ni appartment au hoteli.Mita ya Tanesco ndo inaitwa T2 au T3 sasa unakuta wapangaji wanataka kujua huo umeme wanatumia unaendaje kwa kuhitaji kusoma unit au awe...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

    Anatakiwa aongee na mwenyenyumba wake ili amsaidie ku apply Tanesco apate mita nyingine ambayo akifika kwa watoa huduma ambao ni TANESCO TUU Aseme anahitaji kufanya meter separation kinyume cha hapo asije kurudi hapa kutoa ushuhuda wa kutapeliwa
Back
Top Bottom