Me niliwahi kuhama kikazi kutoka Tabora kwenda Mwanza nilipiga hesabu kusafirisha kwa gari ikawa gharama kubwa amost 1M ila nilipakia vitu nikapeleka stesheni wakapima uzito nililipa 57,000 manake wanalipisha kwa kila wala hawana complication
General Nkunda ana wasifu mzuri aliishawahi kuwa Brigade commander baada ya hapo akawa Land Force commander then ndo akawa na cheo alicho nacho kabla ya cheo kipya cha CDF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.