Recent content by kidyongo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mawakala wanne CHADEMA wafa ajalini

    Pomoja na kushabikia ushoga
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Kwa nini sasa Tundu alalamike ikipewa maendeleo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Leo tuna ratiba ya mkoa wa Kilimanjaro halafu tutakuwa na mapumziko mafupi hadi 4/10/2020

    Kwa uzoefu Wangu watu wasio na Visogo huwa wanamatatizo Ya akili Ninamashaka na huyo anayepiga ngoma
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

    Wao wenyewe Waliogopa kumpatia uenyekiti wa Chama Kwa Kuwa ni mlemavu ndo awe rais kweli labda awe lice
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

    Chadema kila siku wanalalamikia mabadiriko sasa yakija wanayakataa kwani hayo siyo mabadiliko?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Wagombea Ubunge wa Chadema na ACT, Bara na Visiwani

    Hahahahaha wakishalewa wanaanza kuota mchana kweupe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mtakatifu Perpetua na Felista

    Nahisi hata ndoa ulijifungisha na ubatizo ulijpa mwenyewe si kweli ndugu? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nimeguswa na tukio la Kanisa la Mtume na Nabii Mwamposa kuhusishwa na vifo vya waumini 20

    Ambayo ni RC Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la Mark Pompeo (US Secretary of State) dhidi ya Paul Makonda ni aibu sana kwa Mhashamu Baba Kadinali Pengo!

    Yaani aue hao wote chadema wawe hawajaenda mahakamani kumshitaki kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Iran: Marekani ipo 'tayari kufanya mazungumzo' na Tehran

    Marekani ni wajanja wao nia yao ilikuwa kumuua huyo quoseem na walifanikiwa hivyo hawana sababu na vita tena kwani lengo lao lilishatimia Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi huu dhidi ya watu kutoka kabila la Waha na Wahangaza ukomeshwe mara moja hapa nchini

    Don Clericuzio, Kwa nini wamasai na wajaruo hawaitwi kuwa ni wakenya na lugha ni moja?kwa nini iwe kwa waha na wahangaza pekee yao tu acheni ubaguzi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi huu dhidi ya watu kutoka kabila la Waha na Wahangaza ukomeshwe mara moja hapa nchini

    Daaaa leka kubhatuka none see mtama Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania The Economist wakiri Erick Kabendera ni mwandishi wao ni dhahiri alitumika na Acacia kutangaza propaganda dhidi ya Tanzania

    Kama.hakuna ubaya nenda kanakili yale yote aliyoandika nawewe uandike mwisho uweke jina lako na sahihi umalizie na namba ya simu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya kuuaga mwili wa Mama Kabendera yatolewa

    Acha uongo wakatoliki sadaka zao unapeleka mwenyewe mbele ya altare hakuna utaratibu wa kukuletea chombo cha sadaka ulipo sisi unatoa kwa hiari yako lile ni kanisa tajiri siyo masikini wa kubembeleza sadaka yako Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Sasa kila aliyeko mahabusu mama yake aombe msamaha kwa Rais ndivyo sheria zilivyo hata Rais hasamehi walioko mahabusu bali wafungwa na sio mama zao wanaomuomba Rais awasamehe Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom