Recent content by kidumu1

  1. K

    JamiiForums Tanzania taja simu unayotumia, aina, uwezo na ubora wake.

    wakuu tutumie uzi huu tuelezane juu ya cm tunazotumia pamoja na uwezo wake. 1Me natumia nokia e51 na naipenda hii cm coz inapga mzgo poa sana na ni ngumu. 2.Pia nna pocket galaxy, na kenyewe nakafaidi hasa pale nnapoitumia kama modem yangu. Haya kazi kwenu wadau.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya wanaosubiria ajira eti wanataka kuandamana!

    kwann hatujifunzi kujiajiri wenyewe tunangojea ajira 2?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Gambia's public sector to have 4-day working week!

    Point nzuri boss
  4. K

    JamiiForums Tanzania hodi humu ndani.

    me ni mgeni humu ndani na naomba ukaribisho wenu. Weekend njema.
Back
Top Bottom