Recent content by kidum

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nina ushuhuda mzito sana kuhusu huyu dada kupanda vyeo

    Hii itakuwa ni ile best bank in TZ, rangi ya blue na orange correct me if m wrong, anyway hili ni janga la kitaifa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Hivi haya madudu yametokea kipindi cha Bade au yalikuwepo tangu zaman? Kosa la Rished ni lipi naomba kujuzwa maana kwa mujibu wa maelezo yake ni kama alishaanza kuchukua hatua?
  3. K

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Sasa muheshimiwa ukishaanza kutake side utatenda haki kweli kwa wananchi kule jimboni?
  4. K

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Hii ni hatari sana tuendako, hivi mbali na NSSF sehemu gani nyingine (shirika) wamejaa hawa Waislam?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na Rais Magufuli katika uongozi wake; Je, Tanzania imepata uhuru Mwaka 1961 au 2015?

    Usipotoshe mambo inaelekea wewe su mfuatiliaji mzuri walisema, amesimamishwa mpaka hapo atakapo pangiwa sehemu nyingine.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natengeneza na kuuza Masweta, baby suites na scarf

    Watu kama nyie ndo mnatakiwa wakiwepo wabunifu wengi zaidi na serikali pia ikawapa support ili muuze nje, nchii itapiga hatua. Mwanzo mzuri hata kampuni kubwa kama H&M / ZARA walianzia huku.Kikubwa fanya marketing yakutosha.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hakika Siku zaja tutamkumbuka Jakaya Mrisho Kikwete

    Sheria zipo na nadhani kutakuwa na utaratibu mzuri tu, mbona sector binafsi hakuna hizo ajira za kudumu na watu hawafukuzwi ovyo!. Jaman changes haziji hivihivi tunatakiwa kufanya kazi tu hamna muujiza wa maendeleo km si kujituma. Hii itawafanya watu wasibweteke kama ilivyozoeleka mtu haendi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

    Na mizigo mingi isiyolipishwa niya wahindi hawa jamaa hawa wameharibu sana uchumi wa nchi hii.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Kwa manufaa na faida yetu sote, muungano lazima uwepo, kinachotakiwa kutatua changamoto tu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

    Sasa si angejichukulia tu wale wazee nin kutuaibisha hivi.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

    Anaitwa John Meleck frm Arusha.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini sikubaliani na alichokisema Rais Magufuli kuhusu Jumuia ya Madola

    Watu kama hawa ndo wakuzamishwa baharin wachawi wakubwa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Elibariki Kingu aliachwa kwenye ukuu wa wilaya awamu ya nne? Kasoro nini?

    Kingu alifukuzwa sababu ya ubadhirifu wa pesa za wananchi alishirikiana na mkurugenzi na baadhi ya maofisa wa halmashauri kutafuna pesa za fidia za mradi wa umeme zaidi ya mil. 500, zilizotolewa na wafadhili. Sasa ikabidi serikali kuingia hasara ya mamilion ya pesa na kuchota pesa hazina...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mange atoswa na Vodacom

    Kuna kitu huwa anaongea hakina ukweli?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mange atoswa na Vodacom

    Ila huwa anaongea fact tu hamung?unyi maneno.
Back
Top Bottom