Recent content by KIDONKATSA

  1. KIDONKATSA

    JamiiForums Tanzania Yetkin Gen Mehmen, Meneja wa Yapi Merkezi, kampuni inayojenga SGR ahukumiwa Kisutu

    Hata waliomkamata wanajua kazi yake.Point ni kwamba fedha hizo pamoja na wazifa alionao kashindwa kuzielezea.Nyumbu tulia mtu apewe haki yake
  2. KIDONKATSA

    JamiiForums Tanzania Yetkin Gen Mehmen, Meneja wa Yapi Merkezi, kampuni inayojenga SGR ahukumiwa Kisutu

    Wabongo akili hazipo kabisa.Yaani aliyekamatwa nazo kashindwa kuzielezea,lakini mbumbu huku mnakazana kutoa maelezo kanakwamba mna manufaa nazo.Sheria ni msumeno wacha ifanye kazi yake.KILA LA KHERI MTURUKI HUKO SEGE DANCE. Kalete janja janja na huko.
  3. KIDONKATSA

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka wabakaji wahasiwe, AG amtuliza

    Kwa hiyo na mwanamume akibakwa , mwanamke wanamhasije?🤔🤔🤔
  4. KIDONKATSA

    JamiiForums Tanzania Machafuko: Raia Burkina Faso kupatiwa silaha kupambana na wanamgambo wenye uhusiano na makundi ya kigaidi

    Imeandikwa kila raia ni mlinzi wa nchi yake dhidi ya adui.Wameamua kutekeleza kwa vitendo
  5. KIDONKATSA

    JamiiForums Tanzania Utata alipo trafiki anayedaiwa kumpa mimba mwanafunzi

    Trafik alitumia msemo wa wahenga "Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio"
  6. KIDONKATSA

    JamiiForums Tanzania Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

    USA hadi kammaliza ujue anajua kinachofuata.na kafanya kusudi maana ashajiandaa kwa mapambano
  7. KIDONKATSA

    JamiiForums Tanzania Trump apitisha sheria ya kuundwa kwa kikosi cha kijeshi angani

    Naona amemuelewa na kupitiliza
  8. KIDONKATSA

    JamiiForums Tanzania Nkasi, Rukwa: Mkuu wa shule ya sekondari Kabwe, amzaba kofi mwalimu mbele ya wanafunzi

    Pumbavu wewe,umefundishwa hadi namna ya kuandika hilo neno na haohao walimu halafu unaleta dharau.
  9. KIDONKATSA

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mhandisi aswekwa ndani kwa kutafuna Bilioni tatu za mradi wa maji. Adai kujenga Kibanda cha mabati cha 'site' kwa Milioni 100

    Hii dingi mhandisi hadi yenyewe ilikuwa inaona aibu kutamka gharama za banda 😂😂😂😂
  10. KIDONKATSA

    JamiiForums Tanzania Wadau natafuta soko la mihogo mibichi

    Yaani Sh 90 au 900.maana kama sijaelewa hivi.🤔🤔🤔
  11. KIDONKATSA

    JamiiForums Tanzania Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete

    Ule wimbo wa rayvanny,CHUMA ULETE usikilize vizuri.Unaweza ukakusaidia
Back
Top Bottom