Wadau natafuta soko la mihogo mibichi

Wadau natafuta soko la mihogo mibichi

Sajajaribu kupima lakin kwa kiroba kimoja cha kg 25 kwa kukadiria hakizidi uzito wa kg 50 kwenda juu.
sasa kwa mambo yanavyoanza sasa ungeju a hilo. Haijawai tokea nchi hii mhogo ukanunuliwa kwa kg toka shambani kwa mkulima. Maana inatakiwa uuzwe 24 hrs baada ya kuchi!bwaina maana mambo yanabadilika

tofauti ya mimi na wewe ni kwamba mimi nililima na shina moja lilifika kg 13. Rafiki yangu alipata wastani wa kg 18 kwa shina.
ekari moja miche iko kama 4000 mingine inaharibika su haioti vizuri.
 
Mkuu kwa Kwanza Ni Aina gani ??? Kisha nakushauri fuatilia masoko na Kama una mtu aende moja kwa moja sokoni na ajue Ni Aina ipi ya mhogo iko sokoni ndio upeleke
Humu hutopata jibu lilo na uhakika asilimia Mia
Kuhusu aina hilo cjalizngatia ila mi nnacho angalia nkienda kwa mkulima kabla ya yote cha kwanza je mihogo yake huyo mkulima ameipandia mlimani maana muhogo wa mlimani hauna maji na ndio mzuri kwa biashara lakn kama ameipandia bondeni cnunui naiacha maana muhogo wa bondeni una maji kwaiyo haunfai kwa biashara maana hauivi.

Hivyo ndivyo nnavyo vzingatia niendapo kwa mkulima.
 
Supermarket gani?
Zilezile story za waliokua wanajenga ma greenhouse wanakwambia ukivuna utauza kwny ma S/Market.
Vuna sasa hizo nyanya utafurahishwa.
😀😀😀😀😀
 
Sawa mkuu siku hz masoko meng wanaaangalia Aina ya muhogo husika
 
Narudia tena na hapa weka mawasiliano yako sio kila mtu atakufata pm
 
ha ha ha,mng'ato ni kweli supermarket za bongo ni uchovu tu,anaweza kufanya packaging nzuri,hapa nitamsontea watu wanaoweza kumuundia packaging nzuri ,kisha akakanya legwork,maduka ya mtaani,huku mtaani watu wanapenda ugali wa muhogo,sasa wakiona bidhaa iko well packaged hukosi wateja
 
Supermarket gani?

Zilezile story za waliokua wanajenga ma greenhouse wanakwambia ukivuna utauza kwny ma S/Market.

Vuna sasa hizo nyanya utafurahishwa.

Kuna watu wlijiundia kagroup wkalima zile hoho za njano!wakasema watapeleka lile suparmakt la matunda dar!nimeishia hapa🤣!
 
Kuna watu wlijiundia kagroup wkalima zile hoho za njano!wakasema watapeleka lile suparmakt la matunda dar!nimeishia hapa🤣!
Screenshot_20191210-035856.png
 
Sio Tz,hiyo ni US,lakini kifungashio unaagiza China,Bei nafuu,like tsh 50 tu

Ukiweza kupenyeza product yako sokoni ww ni mtu mwingine tayari!
Mwaka 2016 niliamua kuongeza thamani ya 🍓🍓!jaman nilisumbuka sana!kifupi mambo bado magumu sana sana!
Nikitaman kutengeneza strawberry pulp au wine!

Wine nikapiga hesabu nikitaka kupata faida niuze 40000/=750ml!
Hyo pulp ndp nikaona sitaweza kuuza 4000/=..ningetakiwa kuuza zaidi ya 12000/=!kifup changamoto ni ninyingi!kuagiza chupa ilikua km 1600!
 
Ukiweza kupenyeza product yako sokoni ww ni mtu mwingine tayari!
Mwaka 2016 niliamua kuongeza thamani ya !jaman nilisumbuka sana!kifupi mambo bado magumu sana sana!
Nikitaman kutengeneza strawberry pulp au wine!

Wine nikapiga hesabu nikitaka kupata faida niuze 40000/=750ml!
Hyo pulp ndp nikaona sitaweza kuuza 4000/=..ningetakiwa kuuza zaidi ya 12000/=!kifup changamoto ni ninyingi!kuagiza chupa ilikua km 1600!
Dadangu kwenye changamoto ndyo hela ilipo......yaani ukiskia neno changamoto ujue kuwa hela haipo mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom