Recent content by kidongemlonga

  1. kidongemlonga

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mchongo wowote

    Andika vizuri.Huo mwandiko usiozingatia vituo ni hatari. Unaweza kuendesha gari zipi?
  2. kidongemlonga

    JamiiForums Tanzania Utumwa huwa tunajiona watu weusi wahanga ila tunasahau kuwa mababu zetu walicheza part kubwa kurahisisha kupatikana watu kwa ajili ya slave trade

    No research no right to speak. Halafu hufikiri kwamba tutakuwa tunaongea pure speculations badala ya kufikiri mambo mapya.
  3. kidongemlonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

    Mkuu umeongea kiuanaume Sana asipoelewe basi.
  4. kidongemlonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

    Hebu mlete nyumbani hapa,nimkanye
  5. kidongemlonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke bikira ndiye mwenye uhalali wa kutolewa mahari

    Hii sio sheria.Ila kwanini mnatumika sana siku hizi bila kujali ndoa zenu
  6. kidongemlonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke bikira ndiye mwenye uhalali wa kutolewa mahari

    Ongeza neno Mkuu! Hatimaye mafunzo yako yanaenea
  7. kidongemlonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke bikira ndiye mwenye uhalali wa kutolewa mahari

    Anajaza Coaster moja yenye na maEX wake[emoji3]
  8. kidongemlonga

    JamiiForums Tanzania Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

    Ufafanuzi Tafadhali
  9. kidongemlonga

    JamiiForums Tanzania Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

    Leteni mirejesho . Yasemwayo kweli?
  10. kidongemlonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

    Wanaume Tutafute Hela. Usipokuwa na hela ndio unataka kufanya mambo mengi yasiyo na tija. -Utalamba kikojoleo -Utalamba kinyeo -Utasalitiwa na utamsamehe -Utapewa Gono/Homa Ya Ini/U.T.I sugu na utakausha. Niwakumbushe tu kuna vitu vinne havitosheki duniani mmojawapo mwanamke hatosheki na dudu...
  11. kidongemlonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kumfanya mpenzi wako wa kike akung'ang'anie

    Sijasoma uzi huu...Nimekuja tu kuchangia kuwa TUTAFUTE HELA
  12. kidongemlonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake na Wanaume ambao hawajawahi kuolewa wala kuoa

    Bikraaa Hoyeeeeeeee! Bikraaa Saaafiiii!
  13. kidongemlonga

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani ahimiza uadilifu

    Nimecheka sana [emoji2]
  14. kidongemlonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuoa Zanzibar

    Swali hili majibu wanazenji. Kama wapo tukadumishe muungano
Back
Top Bottom