Recent content by Kidonda

  1. Kidonda

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    kuna wale walifukuzwa bungeni miaka ya 60 kwa kubisha hoja za serikali waziwazi.. Nimewasahau ila walikuwa argumentative mbaya sana! Marxism wa ukweli. Mwenye kukumbuka majina awataje tafadhali!
  2. Kidonda

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 za kuwachukia madaktari

    duh kuvurugwa ni noma! Unatapakaa kaa mahindi vile..
  3. Kidonda

    JamiiForums Tanzania Sitta: Bilioni 10 zimeandaliwa kwa ajili ya rushwa urais 2015!

    And the rumble beging! Hureee.. I was eargerly waiting for this juncture! Unajua nilikua nataka kushangaa mbona hawaanzi?! Kumbe muda upo bana na ndio taraatibu game on.. Tusishangilie, this time it is more tense and deadly lethal!
  4. Kidonda

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Rais atakayewafaa Watanzania kwa awamu ya Tano-by James Millya

    well said milya! I am a non-partisan chap! Bt hata akitoka ccm awe na sifa hzo in ahandred percent efficiency! It is a high time nw we start discussing about what we want and not who we want!
  5. Kidonda

    JamiiForums Tanzania Jamaa katembea na mama mwenyenumba kimenuka ushauri

    Mi nikushauri tu utembee na KY mfukoni. Itakurahisishia maumivu na karaha za baada ya tendo... Tegemea BIG RESULTS NOW!
  6. Kidonda

    JamiiForums Tanzania Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

    Haki ya nani Madame B!! Mapishi harufu duh..
  7. Kidonda

    JamiiForums Tanzania Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

    Kama ndio hivyo yale makelele ya " babe usije kwanza jaman... Ooh babe ingiza ni yako yote"" Huwa yanatoka yenyewe au ndio tunayolipa kwanza???
  8. Kidonda

    JamiiForums Tanzania Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

    Si umetanua mwenyewe! it is within ur conscious halafu unalamika nn sasa!!
  9. Kidonda

    JamiiForums Tanzania Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

    Mi kuna mmoja tulionana mara moja tena kwa dk chache mno! ilikua sikua ya ijumaa... Hee mara j3 huyu anaomba laki!!!! i was stunned kwasababu she weakened herself to me mpaka nikakereka maana hawa watu sio vilema jamani mbona wanajiletea mabalaa!! Sasa nikashindwa cha kufanya maana nilishajua...
  10. Kidonda

    JamiiForums Tanzania Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

    Sasa Mgaya.com nikuulize swali rahisi tu, hao wakichaga usingewafahamu nani angekua takataka?? halafu kama wao ni takataka iko wapi yakwako safi?? Naona unachana tu halafu unatuacha hewani as if wewe ni mhindi sijui?!!!
  11. Kidonda

    JamiiForums Tanzania Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

    Unajua ninavyoendelea kuisoma hii thread natambua kitu kwamba yoote haya ya mapenzi na ndoa kwa wachaga ni propoganda tu ILA kuna yaliyojificha ndani yake! ambayo kwa haraka haraka nafikiria ikawa ni kwasababu wachaga wamekua wanatajwa kuwa juu mambo mengi!!! Ni mtizamo tu... endeleeni...
Back
Top Bottom