Producer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa pamoja na kuvunjiwa vifaa vyote vya studio..
Anaendelea .. tumevamiwa tumepigwa kuteswa Sana anadai...
Mimi nilichogundua lengo la mtoa bango Ni kutaka tujue yeye ni r. Presenter sawa Pancho tumeshakujua Sana. Lakini mond ni Kama maji usipoyanywa utayaoga tu
Meneja wa msanii Mario amethibitisha Hilo aliokuwa akihojiwa na Millard Ayo.
Amesema msanii wake huyo alitaka kuchukua uamuzi huo baada ya kuona mpenzi wake ambae pia ni msanii wa bongo fleva anaejulikana kwa jina la Mimi Mars kudaiwa kutoka ki mapenzi na msanii Diamond Platnumz
Chanzo cha...
Bado nashakana hakimu maaana kama kapunguza kutoka 30 to 5 it's means naye alionjeshwa na amberruty. Ila hao wameshazoea kupekenyuliwa tope hawatokaa waache labda wafe tu maana huko jera. Manyapala watakuwa wanafukua tope daily
Kwa jinsi lugha yako ya kihuni sidhani kama una familia wewe otherwise wewe ni dogo una wivu na hao ndugu zako kuja hapo nyumbani anyway ongea na mshua mwambie mimi sipendi tuwe wengi hapa home
Nyie badae ndio mnaanza utasikia msanii fulani kumbe hana hata gari. Kipi bora akuangalie wewe shabiki ambaye huzijui hata digital platform zake anakouza nyimbo. Shout out kwa wasanii ambao wanafanya kazi waingize kipato
Sawa mbona mwenzake rayvanny ametulia tu. Kwanza angejipima ki uwezo suala la label linahitaji watu wengi. Pale wasafi kuna timu ambayo kabla ya nyimbo kuachiwa wana ipima kwanza. Kumbuka harmo kipindi yupo wcb ngoma yake nishapona ilizuiliwa akaiongeza manjonjo ndio ikakubaliwa nishachoka...
Ruge alikuwa anawapa jeuri sana ma prisenter wake kwa jasho la wasanii. Tulimuona Adam mchomvu kwenye hivi ni kweli ya wasafi. Diva loveness alivimbishwa sana bichwa kiasi kujiona yeye ni mkubwa kushisnda mond. Soon ataomba poo maana clouds wanapoteana now
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.