Ujinga ni kushindwa kuona na kutambua mazingira ya kisiasa ambayo wenye dola wmeyaweka/wamejiwekea ili kudhoofisha upinzani. Mikutano ya kisiasa wanafanya wao wakifanya wengine wanakamatwa,Live coverage ni kwa mtu mmoja tu hasa TBC wengine hata vyombo vya habari vinawaogopa sababu vyombo...
ushuzi grade 1. Ingekuwa ni CDM au Mbowe amefanya hivyo nina uhakika sasa hivi Dola ingeshawapata wahusika na kuwafikisha Mahakamani maana ingekuwa fursa ya kuimaliza CDM hususan Mbowe!
Wtz tunasikitisha sana. Inasikitisha zaidi uniona wasomi wanadhani Mtu anayeitwa Rais anaweza kufanikiwa kuendesha nchi kwa kuacha au kupuuza mifumo iliyopo! Nchi inaendeshwa kwa mifumo na inapokuwa na udhaifu tunapaswa kuiimarisha na kuweka check and balance. Hii ni kazi ya muda mrefu na...
Ngoja tukusaidie. Hakuna anayesema kwamba hana mazuri. Mazuri yapo. Ila hayo mazuri yanafunikwa na uminywaji wa demokrasia na uvunjifu wa Katiba na mambo mengine ambayo walio objective wanayaona.
Lets assume upo sahihi. Kama ni hivyo Serikali q ambayo ndio ina vyombo vya usalama ichunguze na kuwafikisha Mahakamani.Serikali hizi zetu zikipata sababu kama hizo kwa upande wa upinzani itachukua hatua haraka sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.