Recent content by kidawisee

  1. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Genius...
  2. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pepo la ngono lina jinsia mbili

    Mungu ndio anaweza kuondoa ayo mapepo na majini,binadamu Uwa wanayatuliza tu.
  3. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopata mke, Mwanzo sikumpenda ila sasa nampenda sana

    Inawezekana sana tu,kwa mwanadamu unaona sio rahisi ila kwa Mungu inawezekana.Mungu anafanya vitu kwa watoto wake,Huwezi kumtumikia Mungu afu akakuacha uhaibike.Swala gumu ni kuwa binadamu kusikia sauti ya Mungu na kukubaliana na lile swala.
  4. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopata mke, Mwanzo sikumpenda ila sasa nampenda sana

    Binafsi amenitia moyo,aya mambo bila kumjua Mungu wataona kama unaongea vitu vya ajabu.
  5. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopata mke, Mwanzo sikumpenda ila sasa nampenda sana

    Amen kubwa,na baraka za Mungu zisiwapungukie.Hongera kwa kutii sauti ya Mungu,naelewa iyo hali ya kusikia sauti ya Mungu,huwa inatupa sitofahamu nyingi na ukikaidi anakujia mpka uelewe. Natamani Mungu anifunulie ivo wangu maana nliyekuwa nae hamkumpendeza,alinionyesha mara 5 kuwa sio mtu...
  6. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

    Kuna pepo ameingia hataki ilo jambo lifanyike,Ombeni sana sana.
  7. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakubwa zangu

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

    Buno njoo tuzoeane na mimi mwanamke...
  10. kidawisee

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nzuri ya kuondoa uchafu sugu kwenye sink?

    Sawa dia...Asante.
  11. kidawisee

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nzuri ya kuondoa uchafu sugu kwenye sink?

    Habari za muda huu, naomba kujua njia za kusafisha sinki langu, nmetumia Aro imegoma, nimetumia sabuni zaidi ya 3, nimetumia cocacola imegoma. CHANZO: Manjano ya uso yalimwagika sehemu ya sinki, yalikaa muda kama week mbili, nilivyorudi nasafisha paweka weusi, Ndio naangaika kuutoa umegoma...
  12. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natangaza vita mpya na kila mwanamke, sitaki mahusiano tena

    Usisuse bana,hili ni janga la Dunia,Angalia babu yako Bill Gates,Unaanza upya mpaka kieleweke ila usisuse.
  13. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special kwa wanawake wa JF: Ni kitu gani hupendi kutoka kwa mwanaume?

    Mwanaume mweupe,mfupi,ana tattoo.
  14. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special kwa wanawake wa JF: Ni kitu gani hupendi kutoka kwa mwanaume?

    Ewaaaah.
  15. kidawisee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special kwa wanawake wa JF: Ni kitu gani hupendi kutoka kwa mwanaume?

    Mwanaume anaevaa suruali juu kabsa kiunoni(alegeze kiasi)Mwanaume anaevaa suruali(jeans)za rangi(nyeupe,blue,red)Mwanaume anaenyoa ndevu zote(aachie uchebe kidogo),Mwanaume asiyevaa Saa,Mwanaume anaemshabikia Daimond(ushabiki ule wa kusifia na kubishana kwa sauti kisa Mond)Mwanaume ashabikii mpira.
Back
Top Bottom