Recent content by Kidava1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

    Wafia dini mnafurahisha kweli. ila kuna swali kwako mdoa mada. Hivi mungu nae huabudu au anaabudiwa?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu na kuendesha kampuni ya usafi

    shukran sana mkuu vp nawez kuja dm kupata namba ya whatsapp
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu na kuendesha kampuni ya usafi

    Nitangulize shukrani kwa yeyote atakaechangia mawazo yake. naomba kwa yule mwenye uzoefu na biashara ya kuendesha kampuni ya usafi anisaidie kunipa muongozo wa uendeshaji na changamoto zake. Ahsante
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wazo lako la biashara weka upate mwenye uzoefu na hiyo biashara

    hiiii unachukua tenda halaf unaajiri watu wa kufanya
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wazo lako la biashara weka upate mwenye uzoefu na hiyo biashara

    biashara ya usafi au kufungua kampun ya usafi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na hili la HESLB

    shukran
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na hili la HESLB

    sawa mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na hili la HESLB

    Ahsante
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na hili la HESLB

  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na hili la HESLB

    Samahani kwa usumbufu kwa mwenye uelewa na hili mimi jina langu la kwenye vyeti na NIDA linatofautiana kidogo kwenye vyeti linasomeka ALY ABDALLAH KIDABI na kwenye nida inasomeka ALY ABDALAH KIDABI. Je, inaweza kupelekea kukosa mkopo? Je, nikiapa mahakamani kwenye kuomba mkopo kuna sehemu ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Najua kuna ma-great thinkers humu ndani, mnisaidie kitu!

    hakuna boom hlo boom ni 620000 kwa first year na 600000 kuanzia second year had unamaliza
  12. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyojifadhili Chuo cha kati na sasa chuo kikuu bila backup yoyote

    Wakati naommba vyuo mwaka 2023 niliomba vyuo vingi ikiwemo na IAA main campus Arusha ila nilipowaza kwa kina iwapo nikikosa mkopo na saport ya wazazi ni ndogo mno ikabidi wakati wa kukomfim nikomfim CUoM mbeya na sina mkopo nw mwaka wa pili naishi vzr no stress kaz za ufundi zinaniendeshea...
Back
Top Bottom