Pascal (AKA Msimila), sikubaliani na wewe kwamba Gwajima ameumbuka inabidi achutame. Bali Gwajima kawavua watu nguo na inabidi wachutame. Point yako ya kuliamsha dude nakubaliana na wewe kwamba ni hekima kutokufanya hivyo kwani damage aliyoifanya kwa hao watu tayari kubwa sana na inaweza...
Ludovick, ni wewe kweli umeleta hii maada?. Anyway, hoja hujibiwa kwa hoja, kwenye maada hii sioni hoja ya msingi uliyojenga hivyo naacha tu inipite hii maada yako.
Usije kuoa mwanamke unayempenda sana, atakutesa na kukumaliza kiuchumi. Wanawake wakijua unampenda sana basi unakuwa umempa rungu la kukupondea. Atakupelekesha kama gari bovu. Huo ni uzoefu wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.