sawa lakini sample imeonekana kama watz wakawachagua watu kuwawakilisha wakawa wanafanya upuuzi kama wanaoufanya viongoz wetu IQ yetu inapimwa kwao kwasababu wao ndio wawakilishi wetu
jaman tusiongee ushabiki tujadili ukweli me naona zito ni mnafiki kama PM wetu ushahidi huu hapa
PM wetu alilia alipoona report ya wanaoua albino bungeni na akaahid wakikamatwa wanyongwe mara wapewe adhab kali lakin walivyokamatwa alijifanya hajaskia habari yyte.
Zitto kasema ana uchungu...
leo uko ACT?? kweli bwana CCM wapigwe chini ACT lakin si chama chenu?? halafu kama Zitto yupo ACT siku atakayohutubia mara ya kwanza tumuulize majina ya waloficha pesa uswisi yakwapi?? au uhafidhina ndo unakua??
Me nashangaa watu wanakipigia kampeni ACT na mtu anaandika tutakienzi yaan chama bado hakijasajiliwa utakienz duh huu ni upuuzi ulopitiliza.
mnamchukia mchungaji msigwa kwa lipi au kwasababu ya upinzani wake?? msigwa si ndo alikuwa anawasaidia machinga kwahyo we ulikuwa unafurahia...
hivi kuna mtu ameewah msikia mchungaj msigwa akitoa hoja bungeni?? au mnaonesha mahaba tu kwa watu muwapendao me naongea reality sikiliza vyombo kutoka kwa msigwa ana akili sana huyu jamaa na anafikira sana tafuta video zake YouTube msikilze ndio utajua nan anajenga hoja.
hoja sio kupingana...
duh ACT iwakomboe watz mbona hii kalie naamini vyama vinavyoweza kuwakomboa watz ni vyama vyenye jina adhim ya kiswahili ambayo ndo lugha ya muunganiko na ukombozi wa mtanzania mmetoa maneno sijui Afghanistan unakuja na chama kitakachotambulika nchi za nje kwa kuwa kina lugha ya kiingereza...
hapa ndipo akili yako inapimwa na kuonekama we ni tahaira wa kutupwa chama hakijaanza hata kampeni unakipa sifa hvyo duh CCM ina taasis mpya sasa ni ACT utashangaa kuona wabunge wa CCM wakichukua kadi za ACT utashika kichwa
nawewe unaongea nn hapa au umetumwa we laki 3 kwa siku unadai ndogo piga hesabu gharama za kuish dodoma then jarib kuangalia hao unaodai watapata hasara wao hawajaona hilo mbona walienda dom si wangekataa ina maana wamekubali kuburuzwa hoja yako haina mashiko kama una biashara ukipata dharura...
mpaka kufika hapo bado sijaelewa zanzibar itakuwa inaitwa jina gani kati NCHI au MKOA ukisema mambo yanayohusu bara yashughlikiwe bara na yanayohusu visiwani yashugulikiwe visiwani sidhani kama kutakuwa na maboresho yoyote na maboresho ya CCM ni ya taratibu mpk yakamilike yawezekana ikawa mwaka...
kama ni ndoa nina imani kuwa ZANZIBAR ni mke na TANGANYIKA ni mume sasa kama kawaida mume ndo huongoza familia wazanzibari kazi yako kunyonyesha watoto na kubeba mimba tutafanyaje sasa ndo washaolewa na tanganyika na posa wamekula tangu mwaka 1964 haiwezekan lazma watulie tu wakazwe
we hujui siasa ndio maana unaongea hvyo usilolijua litakusumbua....Zito ni mnafik ukimjua pinda umemjua zito anajua sana kucheza na akili zenu watz ila ukiwa na akili za kufikiri utajua chanzo cha tatizo na uhalali wa zito kutolewa CDM halaf fikiria mama yake mzazi wa Zto ni kiongoz CDM angekuwa...
mleta maada toa hoja usimu abuse mtu kwa taaluma yake na huenda we ukijumlisha elimu za ukoo wenu ndo umfikie prof. Baregu kwani ye amepinga kwa hoja gani lete hoja tujadili sio ushabik wa kijinga
Mi nadhani yupo sahihi sisi watanzania hatujui kutumia uhuru tukipewa chochote lazima...
JANA watanzania pamoja na dunia nzima iliona
jinsi ambavyo,mchakato wa kumtafuta Mwenyekiti
wa muda katika Bunge maalum ya katiba
mpya,ikiwa ni kikao cha kwanza,tangu mchakato
wa Tanzania kutafuta katiba mpya
ulipoanza,ikifuatiwa na uteuzi wa Rais Kikwete
wa wajumbe walioungana na wabunge...
angalia hata kwenye pesa karume yupo kwny miambili tu lakin nyerere wamempamba kwny noti zote huu ni udhalilishaj wa wazanzibari wanataka nchi yao wapeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.