Recent content by kid key

  1. kid key

    TANGAZO: RISITI NAMBA YA MALIPO NACTE

    Kama bado hujafanya maombi kwa njia ya mtandao kwenye site ya nacte, nauza risiti namba ya malipo kwa sh 7,000 tu. Kwa malipo halali ni sh 10,000. Kwahiyo utakuwa umeokoa sh 3000 nzima.
  2. kid key

    Amani kitu cha muhimu sana

    Unatoka nyumbani mida ya saa 12 kuwahi kwenye pirikapirika za hapa na pale kutafuta chochote kitu kwa ajili ya familia uliyoiacha nyumbani. Ghafla njiani gari uliyopanda inakanyaga bomu lililotengwa na kikundi cha kigaidi fulani nchini kinachopingana na serikali na kuua watu wasio hatia. Embu...
  3. kid key

    Diploma ya afya#

    Okay, kwa bahati ya kujaribu fanya hivi, Kwanza usiombe katika vyuo hivi Lugalo Kilosa Kibaha KCMC sure as hell hakuna hata kimoja utapata hapo kwa sababu ya ushindani. Angalia nacte guideline book, tafuta vyuo vinavyokuwa na uwezo wa kuchukua capacity kubwa ya wanafunzi, mfano Mtwara cotc...
  4. kid key

    Diploma ya afya#

    Nitakuwa mkweli kwako, kwa matokeo hayo kupata CO chuo cha serikali itakuwa kama bahati ya mtende kuota jangwani. Niamini mimi Ushindani uliopo kuingia vyuo vya serikali sio mdogo, alafu usipokuwa makini ukitegemea kwamba eti utapata bahati ya chuo cha serikali bila kuwa na plan B utachemsha na...
  5. kid key

    Nahitaji kumfanyia Application mdogo wangu katika ngazi ya Stashahada/Diploma kupitia NACTE

    Utaratibu upo hivi ukilipia 10,000 utapata nafasi ya kuchagua chuo kimoja (kwa category husika ya diploma) Ukiongeza 10,000 nyingine watakupa nafasi ya machaguo mawili zaidi, kuyafanya jumla kuwa machaguo 3 ukiongeza na lile la kwanza Basically kwa kila 10,000 utakayongeza baada ya hapo...
  6. kid key

    Kuhusu Diploma clincical medicine

    Si ndio hapo nashangaa huyu jamaa anaingiza stori za ajabu
  7. kid key

    Kuhusu Diploma clincical medicine

    Dah bora hata maana kila mtu anasema medical lab bora
  8. kid key

    Kuhusu Diploma clincical medicine

    Form four nilipata Bios- A Phy - C Chem - B Tafadhali nilikuwa naomba uthibitisho kama nitapata chuo cha Lugalo cha clinical medicine... Au niapply chuo kingine.
  9. kid key

    Ada ya clinical medicine inalipwa mara ngapi kwa mwaka?

    Ukiingia online mkuu deal na mimi kwanza
  10. kid key

    Ada ya clinical medicine inalipwa mara ngapi kwa mwaka?

    Asante sana..... Una idea yoyote na chuo cha private kizuri?
  11. kid key

    Ada ya clinical medicine inalipwa mara ngapi kwa mwaka?

    Asante mkuu.... Na unaweza nishauri vyuo vipi ni vizuri? Kati ya hivi Kibaha, Lugalo, na Kilosa?
  12. kid key

    Ada ya clinical medicine inalipwa mara ngapi kwa mwaka?

    Kwa waliowahi kusoma chuo kozi ya clinical medicine, Ada yake inalipwa mara ngapi kwa mwaka?
  13. kid key

    Udahili wa vyuo

    Dah hamna hata Zali la mentali?
  14. kid key

    Udahili wa vyuo

    Mhitimu wa Form six matokeo yangu ni division 3 ya 14 Phy E Chem E Bios D Nauliza Education siwezi kupata? Na kama naweza chuo gani most likely?
  15. kid key

    Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

    Sasa nafanyaje, Education nitapata?
Back
Top Bottom