Recent content by Kichwa Ndio Mtu

  1. K

    Je, huko nchi nyingine nyumba zao za ibada ziko kama za huku kwetu, maspika na mavipaza sauti kila kona?

    Naomba kuuliza mliowahi kufika nchi za watu wengine huko, je wao pia husali kama watu wa huku kwetu? Je huko pia misikiti imeweka mavipaza sauti kwa juu na makanisa hua na mispika mikubwa hivi kwa nje? Kwa kweli mimi sipendezwi na hii ya watu kuswali/kuswali lazima wapigie watu wengine kelele...
  2. K

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Hakuna kitu kama hicho, watanzania wanataka mabadiliko na lowassa ndie mabadiliko. Ataongea kisha kesho atapata coverage kidogo kwenye media hasa magazeti ya uhuru kisha atasahaulika kama lipumba. Hakuna mtu alikua napendeka cuf kama lipumba, nwenyekiti wamausha wa chama lakini yuko wapi sasa...
  3. K

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Dr amechelewa sana, kwanza ndio naona jina lake leo humu. Hapa ni lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tuUuuuuuuu.
  4. K

    Yaliyojiri mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli viwanja vya Majimaji, Songea

    Ya nchimbi yaacheni tu wakuu,yaacheni hivyo hivyo, i know what he is doing anayoyafanya kwa faida ya lowassa ni makubwa kuliko aliyoyatamka hapo.
  5. K

    Dunia ya siasa imebadilika sana Tanzania! Sasa hivi mfuasi wa CCM anaishi kwa mashaka makubwa sana!

    Hivi magufuri hana chama ni mgombea binafsi au nini, mbona sielewi. Wapenzi wa ccm wamekua wakali mtaani kama mtu anaetaka kufa, wamekua wachungu, wanatukana na maneno mabaya yote. Kweli nimeamini kitu kikitaka kufa huwa kikali sana ili kuokoa maisha yake lakini unkuta muda umemuacha. Ccm...
  6. K

    Gazeti la Mzalendo Ladoda

    Mimi nanunua sana gazeti la mzalendo kwa ajili ya ufugaji wavifaranga. Hilo gazeti huwa natumia kulazia kuku na watoto wake.
  7. K

    Lowassa: Nitafuta misamaha yote ya kodi

    Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, ikuluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Mimi sihitaji hotuba kumchagua lowassa wala sihitaji ahadi za kufuta kodi nampa kura zangu. Ccm kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
  8. K

    Kwanini Tanzania hatuna Airline?

    Uliza Mwakwembe na Magufuli na Kikwete.
  9. K

    Kimoyomoyo ninaumia na mambo ya jana katika uzinduzi wa Kampeni za CHADEMA/UKAWA

    Lowassa aongee asipngee mimi na familia yangu na ndugu zangu tunampa kura. Sihitaji rais muongeaji mimi. Kuongea waachie kina hugo chaves na castro. Lowassa aongee au hata awe bubu kuanzia sasa kura yangu anayo.
  10. K

    Ccm yaendelea kuwatumia walemavu kuomba kura

    Watu kama mpangu wako hivyo walivyo kwa kua wako hvyo, nothing happens by chance, kila kitu kilipangwa toka mwanzo,aliepanga alijua kuna watu wasio na akili kama mpanju.
  11. K

    Sitaisahau siku ya kwanza kuachwa na mpenzi wangu

    Uahawahi kuwinda? Wawindaji wakienda porini kuwinda chakwanza unapiga risasi mnyama alie karibu na wewe. Sasa unataka baba nyumba aende kutafta wanyama mbali wakati kuna mnyama nyumbani, kwanza ua mnyama alie karbu nawe kisha fuata wanyama wa mbali.
  12. K

    Baada ya matusi yote, sasa nimekuwa bosi wake ofisi moja, je nimfukuze kazini?

    We acha kabisa, ukawa wametuvuruga hatuna hamu ndio maanabtunaandika mambo ya hovyo hovyo humu. Mimi toka lile tukio la jana la ukawa nilivyovurugwa hata kingereza nimesahau.
  13. K

    Sitaisahau siku ya kwanza kuachwa na mpenzi wangu

    House girl mala nyingi huwa ni wa baba nyumba.
  14. K

    Hata kama Fisadi, tutamchagua!!!

    Mimi lowassa hata ikitokea akawa bubu sasa,akawa mlemavu, akavunjika miguu na mikono, hata ikiwa atakufa tarehe 25 au 26 bado ntampigia kura. Sihitaji hotuba wala chochote kutoka kwake kumchagua. Lowassa we love you dearly. Dead or alive i will vote for you.
Back
Top Bottom