Recent content by Kichwa Kontena

  1. Kichwa Kontena

    Kwanini Tanzania hatuna Waziri wa Ulinzi mwenye cheo cha kijeshi kama Urusi, Marekani na China?

    Mkuu wa mkoa wa Kagera ana cheo gani je kiprotocal kwa boss wake CDF imekaaje akifika mkoa wake
  2. Kichwa Kontena

    GE2020 Mzee wa miaka 90 Askari mstaafu ajitolea kuwa wakala CHADEMA

    Hata wakichagua mbadala mwisho wa siku lazima waitumikie serikali
  3. Kichwa Kontena

    Mambo ambayo huleta aibu kwa mtumishi wa umma

    Maisha yenyewe dawa ya kulevya tosha
  4. Kichwa Kontena

    Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    Sentesi ya mwisho umeboronga
  5. Kichwa Kontena

    Watu wa Kigoma kuna salamu zenu huku

    Namba 1 hadi 4 ni ukweli ila kashindwa kusema sababu kaandika bila uchunguzi. Na kishabiki
  6. Kichwa Kontena

    Hivi Lissu akiendesha harambee kanisani kanisa mtamkubalia? Lakini IGP Jana alisema wanasiasa wasitumie mimbari ya Mungu kisiasa

    Relax punguza hasira mjibu swali usijipandishe kujiona unamzidi level ya elimu, kama una elimu basi elimu yako haina msaada wowote kwako maana hauna ustaraabu wowote unaoonesha una elimu
  7. Kichwa Kontena

    Hivi Lissu akiendesha harambee kanisani kanisa mtamkubalia? Lakini IGP Jana alisema wanasiasa wasitumie mimbari ya Mungu kisiasa

    Mbona tunaletewa form za michango ya misikiti mingi tu huku uraiani na kila hatua ya ujenzi tunapewa taarifa sie makafiri kwa hiyo kumbe hua wanafanya makosa?
  8. Kichwa Kontena

    Wapiga kura 566,000 kushiriki Uchaguzi Mkuu Zanzibar!

    231,000 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kichwa Kontena

    Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

    Ni kweli sijui lolote kuhusu jeshi nakaa kimyaa ww unasimuliwa unasimulia wengine uongo unaosimuliwa wanaojua wote hawajaandika kitu wanatusoma ss tusiojua waliotusimulia Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kichwa Kontena

    Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

    Hakuna jeshi la hivyo ndugu 92 nao ni askari wa Jw wanaofuata taratibu za jeshi na wana nidhamu ya hali ya juu pia hakuna officer anaetoa order ya ovyo,officer anakamisheniwa na raisi ina maana 92 akimdharau officer kamdharau raisi atachukuliwa hatua zinazotakiwa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom