Recent content by Kichwa chawa

  1. K

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    safi sana polepole kumbe lowasa tamaa yake yote ni GESI! hebu muitoe hio sauti milio mrekodi watanzania waelewe hasa NYUMBU.
  2. K

    Juhudi za CCM kumbeba Magufuli zimezidi kugonga Mwamba

    Tulieni dawa iwaingie huu ni mchezo tu wa siasa ngoja mda ufike mtajua ccm ni nani. Mtego mliopewa sasa mtashangaa utakavo badilika.
  3. K

    Ujio wa Lowassa CHADEMA waidhoofisha UKAWA Shinyanga mjini

    Chadema na ukawa kanda ya ziwa yote hawana lao nyie bavicha kushinda jf na viroba vyenu kucoment kila kitu ndo mnaota fisadi tamaa nyingi kuwa atakua rais,poleni sana.
  4. K

    Mikakati mizito ya Ushindi ya Friends Of Lowassa yaanza kuvuja

    Vijana fanyeni kazi mpate maisha mazuri acheni kushinda mitandaoni kusifia na kuongelea siasa ambayo hata huyo msaka urais kwa nguvu akishinda ni km wale tu waliotangulia acheni ushabiki wa siasa kichuki na kikabila.
  5. K

    Ukawa hatutashinda kwa njia hii

    wenye maamuzi wote wanatoka kaskazin,hawa kina lissu na salum hata safari ni watumwa tu wa njaa zao. mkubali mkatae ukwl ndo huo kama mnasema ccm ni waislam lkn mmeona miaka kumi wametawala bila ubaguzi lkn nyie CDM kila mti ni SISIMIZI.
  6. K

    Kutoka NEC/Lumumba: John Magufuli kuchukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    utamsikia tu hata ukiwa bubu utamsikia.
  7. K

    Wana CCM tushikamane kipindi hiki KIGUMU, yatapita tu!

    bila shaka kabisa na hawana lolote usione wazee wetu wa ccm wametulia ukadhaniwanaogopa ila wanasuka mipango ccm oyeeee
  8. K

    Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    ntafurahi sana.
  9. K

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    weka akiba ya maneno mtoto,na usiwaamini wanasiasa.
  10. K

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    ina maana yeye aliamini mojamoja kwa moja maneno hayo?? kua mamlaka za juu zimeagiza yeye km wazirimkuu aliuliza hzo mamlaka za juu ili kujirizisha ama alimuamini tu katibu?? lowasa huna akili mzee wangu pole sana utakufa kifo kibaya sana.
  11. K

    Swali kwa CHADEMA: Tuko Tayari Kumpokea Lowassa na Kumpoteza Slaa?

    wote watu wa arusha na wote pesa mbele,slaa atakatiwa chake anatulia lowasa ana fanya yake na baada uchaguzi mbowe atamuachia uenyekiti lowasa.
  12. K

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Hawana aibu hao kaka yupo tu ila hali mbaya ye na mbowe,na ana jiandaa kwenda karatu
  13. K

    Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

    Ccm oyeeee,tunapeta tena mpaka miaka mia.kaskazin kumewaka mtajiju.
  14. K

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    KANU ilisambaratika kutokana na wanasiasa machachali tena sio wala rushwa na pia walitoka makabila makubwa rejea RAILA ODINGA luo MWAI KIBAKI kuyu NAJIB BALALA mombasa
  15. K

    Miaka 20 ya ulaghai wa CHADEMA kwa wananchi?

    lowasa mnamkubali nyie tu wa kaskaz,zaidi ya hapo hakubaliki popote afadhali hata cdm ya kina slaa ilikua inakubalika sehemu kibao,poleni ccm ni baba wa siasa africa.
Back
Top Bottom