CCM ni pango la wezi na walanguzi ya raslimali za maskini wa Tanzania.......................
CCM ni kichaka cha mafisadi na wabakaji wa democracy..........................
CCM ni ukoo wa panya ambapo kila mtu ni mjanjamjanja mwenye maono ya kuwaibia...
Shikamoo brother Olemillya.......
Shikamoo wadogo zangu Esthers Bulaya na Matiko
Hujambo braza John Heche
Binafsi namuona Ole Millya bonge la mbabe.... Kwa kumtoa na kumtupa kule Ndg. OleSendeka, kwa mara ya mwisho nilimuona Olesendeka pale KIA nilipokuwa naenda leave naye pia...
CCM haeaaminiki, CCM ni sawa na nyoka wa kijani wanateleza saaaana, they are very slippery.... Huyu Magufui si alikuwa ndani ya baraza la mawaziri pamoja na ndg. Membi tangu miaka 10 iliyopita ilikuweje walishindwa kumzuia kaka yao ili apunguze kuVasco Dagama???
Sisi waKenya tunaonanga ninyi waTZ ni vichwa vya panzi kwelikweli, mbona Magufui wakati wa kampeni ya Urais aliunga mkono safari za JK kuwa zilikuwanga na mafanikio na faida nyingi kwa waTZ......??? Leo hii baada ya kuchaguliwa kuwa Presda amesema kuwa hazifai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.