Recent content by KICHWA BOGA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufundishwa namna ya Kutengeneza Batiki na Mishumaa

    Tembelea link hizi bila shaka utapata unachohitaji.......kila lakheri https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/828396-jinsi-ya-kutengeneza-batiki-za-mashati-na-tshirt.html ISHI MAISHA YAKO
  2. K

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    BATIKI ZA MASHATI na TSHIRT Kwa kufuata sheria ya kuu ya tie dye ambayo inakutaka kukunja malinda kwa mtindo wa nje ndani au mbele nyuma, hata kwa nguo yoyote iwe tshirt au shati utatakiwa kukunja kwa mtindo huo kutegemeana na ubunifu wa ua unalolitaka. Kisha utafunga kwa kamba na kuchovya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya gari la bure

    V8 nadhani hawatoi kwa sababu imezidi limit yao waliyoitoa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya gari la bure

    Leo gari la tano limetoka, 25 Car Xmas Giveaway | All I Want For Xmas | BE FORWARD
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya gari la bure

    JITA MOBILE SCHOOL Wabongo wengi tunaogopa kujaribu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Suzuki Carry Truck

    jaribu 25 Car Xmas Giveaway | All I Want For Xmas | BE FORWARD unaweza pata zawadi toka BEFORWARD
  7. K

    JamiiForums Tanzania Be forward wanatoa magari ya bure

    Svibaya kujaribu kwa kuwa hutatumia gharama yoyote zaidi ya ulivyoingia jf
  8. K

    JamiiForums Tanzania Be forward wanatoa magari ya bure

    Wanasema ni zawadi ya Christmas, wameshaanza kutoa Jaribu kufuata link hii 25 Car Xmas Giveaway | All I Want For Xmas | BE FORWARD
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya chuo kwa Waliokosa posti za kujiunga kidato cha 5

    Dah! very cheap and affordable
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya chuo kwa Waliokosa posti za kujiunga kidato cha 5

    Nadhani inaweza kuwasaidia hasa wakipata Elimu ya Ujuzi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya chuo kwa Waliokosa posti za kujiunga kidato cha 5

    Safi, elimu kwa wote!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vituo vya ujasiriamali

    Watafute JITA MOBILE SCHOOL wanapatikana Morogoro waweza wagoogle pia ili kuwajua zaidi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wote wa morogoro wasio na kazi njooni

    Hakuna kitu kama hicho mkuu, tunajiwezesha wenyewe nikimaanisha tunajitegemea. ninachomaanisha hapo ni kuwa atawezeshwa kulinganba na wazo na ndoto alizonazo maana si wote wasio na kazi wana malengo na ndoto japo wana elimu. wenye ndoto na malengo tunawapa support na wasiojitambua kabisa, tuna...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tenda ya kufundisha elimu ya kujitegemea

    Elimu yoyote mkuu
Back
Top Bottom