Recent content by kichury

  1. K

    JamiiForums Tanzania CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Nadhani hii ndio point beyo boy ilikuwa Ngoma akomae nayo yeye au ampe mama bas
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Friji linajizima na kujiwasha, tatizo nini?

    Ni sahihi linavyofanya fredg nyingi wameweka mfumo huo yani pale linapopata ubaridi wakutosha linajizima ubaridi ukipungua linajiwasha lenyewe ila ni vizuri ukatumia fredg guard kwa ulinzi zaidi wa chombo chako
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumuuzia mwanae kiwanja?

    Kwanini asimpe mke wake kama mama yako
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tabia mbili mbaya ambazo tumegoma kabisa kuziacha

    Jk alishaenda mpaka msiba wa mama yake mwakinyo unahisi alishindwa kumtumia tu kwenye tigo pesa akaendelea na shughuli zake kuna faraja kubwa kuonekana kwa mfiwa kuliko iyo hela yako
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

    Mambo yakukatakata tamaa ni tatizo hapo utaokoa na wengine wengi Yule mkuu wa kituo nae au ndio mambo mengi kinachouma watu kama hawa wanafahamika kabisa ila..
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Ndio maana nikasema ziangaliwe kikubwa sio kuangaika tena na wengi wa watu wanaokataa Zipitiwe hoja zao kuweka ligi haitosaidia hawa wa kataa ndoa wengi wapo kwenye umri wa kuoa au walishaoa wakaacha au umri ushaenda bado wapo na misimamo yao Nimeona mdau hapo juu akisema Kwani mwanamke...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Nimelipenda jina lako[emoji4] wala hatuteseki lakini
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Hao ni ile tim kiria super nini sjui [emoji23][emoji23] Huwezi ukaamini yupo serious eti
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Anaamua kujizima data unafikiri haelewi[emoji4] Lakini hizi sheria za ndoa waliotunga sidhani kama waliwashirikisha wanaume
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufanya Maamuzi

    [emoji2935]
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Assenga watu hawatarajii mtaenda kutukana viongozi waliofariki

    Asenga unakwama wapi[emoji4]
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

    Nakazia..huwa wataenda kulala kwenye nyumba za mapandre kanisa la karibu Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

    Samahani mkuu sina shida na wanavyovitumia hapo kwenye pakulala kama store mapadre parokia gani hiyo Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dunia hii! Sabaya Yuko Jela, Makonda hajulikani aliko, Magufuli kaburini, Mbowe anakula ubwabwa Ikulu

    Baada ya matokeo watu walifunguka sana kule Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom