Recent content by kichu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Walimu waongezewe muda kuripoti

    Hata ukiongezwa ila jua watakaochelewa hamtapata mshara WA may
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waliokwisharipoti May 1

    Transcript ndio inayotakiwa cheti ni pambo.Ila sio provisional results
  3. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Itilima kwetu.Hakuna ni wilaya mpya ni kama kijiji tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Anglia jina Kichulungu arts degree kaka nitumie 0759817774
  5. K

    JamiiForums Tanzania Alert: Wandishi wa habari wote nchini.

    serikali ya kijinga tupu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

    Ajabu sana inawezekana hujui lolote nini maana ya mtihani cha mno ni level of understanding.Nilikuwa Muce lakini kuna test Fulani darasa la watu 900 wa kwanza alikuwa na 12 out of 20 wengi sana zero mpaka tano.GPA udsm huwezi pata ya tano hebu uliza st Joseph na sauti kwenye essay kama za darasa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Acha nikusanye Magamba yangu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Mambo ya kitaifa ambayo ni programmed hayawezi kuzuiliwa na msiba WA mbunge.Kama wamepanga yatoke Leo yatatoka.Acha nianze kutafuta vyeti vyangu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za Walimu 2014/2015

    Pinda amesema Leo akiwa Mbeya kuwa walimu elf thelathin na sita na kidogo wataajiriwa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Part time English Teachers

    Ningependa kufanya kazi hiyo.Mimi ni graduate kutoka udsm.Nilisoma Linguistics name Literature. email kichulungu@gmail.com
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Haraka haraka ya nini? wakati password unayo!
Back
Top Bottom