Recent content by kichomiz

  1. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Video: Kijiji kizima kimenaswa kimeiba umeme Mbeya

    Vijijini wana hiyo elimu? Halafu wanasema wameunganishiwa na mita mbovu
  2. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Video: Kijiji kizima kimenaswa kimeiba umeme Mbeya

    Cha kufanya wawahoji hao wanakijiji,aliewaunganishia ni nani? Na walilipa kiasi gani ? maana ukisema wanakijiji wameiba umeme unakuwa unawaonea hizo mita ambazo ni mali ya tanesco walizitoa wapi kama sio tanesco?majizi yako tanesco sio wanakijiji
  3. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l

    Umeamua kuanza mapema kabisa mkuu ,ili ukumbukwe mbele ya safari
  4. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

    Hapa sitii neno mkuu,umemaliza lila kitu
  5. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba nae mmeanza kumuundia zengwe?

    Huwa anakula mpaka watoto wake
  6. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Wamasai wenye rasta walitulizwa na Masai rapa, mwenda pole hajikwai, alijikwaa baada ya kutegwa na jiwe kubwa, hakunyanyuka tena!

    Mbowe huyu huyu mliekuwa mnapambana usiku na mchana abaki kuwa mwenyekiti CDM?
  7. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

    Hizo sheria Mmeanza kutoa milio taratibu
  8. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    Samahani mkuu nini maana ya haramu ,na linatumikaje na asili yake ni wapi?tusije tukawa tunadandia tu sisi wamatumbi
  9. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Mbona wananchi wengi hawaamini kuwa Coaster hili limenunuliwa kwa mil 334?

    Kwa utetezi kama huu,Yutong tunaweza ambiwa ni billion na nusu
  10. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Kesi Imeshakuwa Ngumu: Jezi ya Taifa Msuluhishi Nani???

    Kwa hiyo waurudie wa zamani?
  11. kichomiz

    JamiiForums Tanzania Kesi Imeshakuwa Ngumu: Jezi ya Taifa Msuluhishi Nani???

    Mi naona kama waziri anajisumbua ,hapo kaingilia kazi isiyomuhusu ,Taifa stars iko chini ya TFF wao wana maamuzi yao na mikataba yao haiko chini ya waziri
Back
Top Bottom