Recent content by kichinjio

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Nafikiri hawezi kuchukua maamuzi mpaka asaidiwe.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

    Na bado tutashuhudia mengi zaidi. Nilisema baada ya mheshimiwa kututoka na sasa yanajitokeza. Mapendekezo ya kitoto kabisa. Eti tutangaze hadharani kuwa tuna korona mara eti tiba zetu za, asili sijui zifanyiwe upumbavu gan. Yaan hata hatujiamin sisi wenyewe. Sijui wasomi wetu wana madudu gani...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya Pasaka: Tunaonyeshwa kuwa Magufuli hakuyaishi maono yake na kama aliyaishi hayakuwa maono sahihi?

    Nataka kusema hivi. Nchi hii inaenda kuaribika. Sina la kusema zaidi Ila muda utaongea.
  4. K

    JamiiForums Tanzania E- Parking Mwanza ni hujuma kwa Magufuli au uelewa mdogo wa wasaidizi wake?

    Naandika nikiwa na hasira moyoni. Uanzishwaji wa System mpya ya utozaji ushuru wa maegesho wa magari jijini Mwanza ni janga kwa taifa na sijui kwa hakika ni nani anafaidika kwa ukandamizaji huu. Kwanza nianze na gharama za ushuru wa parking ambao ni shilingi 1500/= Ushuru ambao ni mkubwa sana...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Rais Wangu jua ya kuwa unapendwa sana na wala usihofu na endelea kupiga kazi kwa moyo wako wote na usirudishwe nyuma na mtu yeyote. Napenda kukufahamisha ya kuwa kazi yako inaonekana sana na endelea kulitumikia taifa hili na ninakuhakikishia kuwa watanzania wengi tupo nawe . Mwisho usiwe na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Na kadhalika na kadhalika

    Ngoja sindano ikuingie. Acha kulalama. Kumbe ulikuwa mnufaika wa uozo pia?
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Anatosha kwako tu.Huku ni mabadiliko.
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Umetumwa ehee. Mtaani ni lowassa tu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli aliongea na Mh. Waziri Kigoda akiwa ICU!

    Du! Tunapoelekea tutasikia Mengi. Hivi kweli unawezaje kuongea ukiwa unaelekea ICU? Jamani najiuliza aliwezaje kuongea nae na kumwambia habari za uchumi?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Misisiemu bana imekwisha anza kuedit picha zao za kusombwa na malori na kuzifanya zionekane za chadema. Shame on you people
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Kweli Dr anaongea fyongo tu. Hajui hata anachoongea.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Kweli nimeamini huyo anayejiita Dr slaa ni bogasi. Hata ukimwangalia usoni hafanani na anachoongea.
  13. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    kila mahali sitawaangusha, sitawaangusha, sitawaangusha, sitawaangusha......................Naomba uendelee mie nimechoka kutamka.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

    UWIIIII...... nimekosea njia(ACT) , ngoja nirudi chamani( CHADEMA)
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

Back
Top Bottom