Recent content by KICHEKOMASIHARA

  1. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Aliyevujisha siri na kusababisha Al-baghdad kuuliwa ni mtu wa karibu na amelipwa $25 milioni

    Ni kweli mula alifariki kwa cancer na hakuwah kukamatwa.
  2. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Watu wafupi wana IQ ndogo kulinganisha na watu warefu

    Yaaani yaani yaani kama vile
  3. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Need exchange , infinix kwa a10/a20

    Ni infinix smart3+ Used 3months Mwenye hizo simu tuchekiane Pm WhatsApp 0755102030
  4. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisaikolojia

    Ndio ndugu niliamua kufanya maamuzi magum!
  5. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisaikolojia

    Wadau wa psychology, ninaomba ushauri wenu wa ndoa. Mume au mke anapoachana na mwenza wake wa ndoa anatakiwa kiafya ya ubongo na mwili achukue muda gani wa mapumziko kabla ya kuingia mahusiano mapya ya ndoa? Naomba msaada wenu.
  6. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Vitu vya ndani vinauzwa

    Mimi nina hitaji SPEAKER 2 kubwa ZA SONY AU CANWOOD
  7. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu Maji

    Maji baridi unaimanisha nini? Uwepo wa maji baridi unaweza ukasababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo FRIJI na maeneo yale ya njanda za baridi. Tengua maelezo yangu sasa!
  8. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania siku ya Ijumaa ilienda Afrika Kusini kufanya nini wakati walishasitisha safari za huko?

    Jamaa kilaza huyu anawaza kwa kutumia makalio yake.
  9. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapenda kuigana kununua magari?

    Ulimbikeni!
  10. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza dozi ya malaria juzi jumanne,Leo naweza kunywa pombe?

    Ndio unaweza! Kunywatu ila uandae kiroba cha mchele usitusumbue michango ya chakula siku hio
  11. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Nokia 2.1 for sale

    Macho yako yako vizr[emoji1787][emoji1787]
  12. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Nokia 2.1 for sale

    Ram 2gb In memo 8gb Price 200k Place PUGU CONTACT pm Exchange allowed
  13. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Mvuje mvuje mvuje

    Nauza MAJANI ya MVUJE NIKO DAR
  14. KICHEKOMASIHARA

    JamiiForums Tanzania Sofa la watu wawili (2) linauzwa

    Nijibu pm sms yangu
Back
Top Bottom