Recent content by kichakare

  1. K

    Tuige Korea Kaskazini kupiga marufuku shughuli za kidini

    Meta Mada ni firauni mkuu. Katumwa na baba yake Lucifer.
  2. K

    Mafuriko ya Lowassa yana mengi

    An angel sent from masaki it center. Tumekupata, pita hivi
  3. K

    Bundi kutua tena CCM!

    Hao waliobaki ndo waluouza loliondo,wamekufanya una elimu duni kingereza hujui japo unajiita msomi,wamesomba ela za escrow kwa magunia,wameuwa viwanda na mashirika yote nchini,nk. Hivyo Endelea kubaki usingizini ukija kumbuka shuka kumekuchwa
  4. K

    Haki ya Mungu UKAWA hamtoki na jimbo mkoani kwangu

    Mtoa mada hajielewi. Upo wapi ushahidI wa ufisadi wa majembe? Kula buku 4 yako ya ccm nenda ngokolo matopeni kale viroba
  5. K

    Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

    baba yako ndo mwizi namba moja.
  6. K

    Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Mkutano mkubwa utafanyikia kwenye uwanja mkubwa uliopo Indian ocean sio tangamano
  7. K

    Wanachama zaidi ya 600 na viongozi wa CHADEMA Vunjo wahamia CCM

    OK ukawa forever. Mimi ni mmoja wa tuliopewa mihela tuusaliti ukawa. Hao am a 6 wote ni ukawa. Ikomboeni nchi biila chenga
  8. K

    Niliwaeleza baadhi ya wabunge CHADEMA hawarudi Bungeni mkabeza!

    Watu humu mmekula buku kumi kumi zenu ili mfanye propaganda, kwa taarifa yenu wapiga kura hasa wale wa ukawa hawana uwezo wa kuingia humu kusikiliza hizo chai zenu.watanzania washafanya maamuzi. Tulieni mnyolewe
  9. K

    Mabalozi mia moja wa CCM Monduli, wahamia CHADEMA

    Chadomo hoyeeeeeeeee
  10. K

    Lowassa hakarabatiki UKAWA Mkilazimisha mtafedheheka OCTOBER 25

    endeleeni kugugumia kwa maumivu, wapiga kura Leo nadhani mliwaona wakimsindikiza mkombozi wao kuchukuwa fomu. bakini na tuhuma zenu zisizo na mashiko wala ushahidi.mapovu, jasho na stress ziwe nanyi daima.
  11. K

    Sera za CCM na vifo vya viwanda vyetu

    na vifo vya vyama vya ushirika je?
  12. K

    Ajabu: Star TV ni ya mwanaccm lakini ni huru Kuzidi TBC ya Umma!

    Dialo acha ujinga kuwa mzalendo upendeleo tupa kule. Usiharibu biashara sbb ta usisiem
  13. K

    Uncofirmed: Magufuli ameibuka kidedea, kuipeperusha bendera ya CCM

    Mbn hizo kura zinazidi idadi ya wajumbe? Acheni uongo
  14. K

    Nape: Hakuna kukata rufaa mara mgombea atakapokatwa

    Ccm ni ya nape na makonda wakushirikiana na walafi wengine. Lowasa kitu gani bana
Back
Top Bottom