Recent content by kicbo

  1. K

    JamiiForums Tanzania CRDB Salary Advance

    Hakuna haja cha msingi uwe mtumishi wa serikalini na mshahara uwe unapitia CRDB..Unaruhusiwa kukopa mpka asilimia 50% ya take home yako ya mwez husika
  2. K

    JamiiForums Tanzania CRDB Salary Advance

    Yeah mwez husika inakatwa kwenye mshahara ukiingia tu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Motherboard Pinetech smart tv

    Msaada sna teama
  4. K

    JamiiForums Tanzania Motherboard Pinetech smart tv

    Natafuta motherboard aina ya Pinetech Smart Tv inch 43..Tv yangu haioneshi picha lakini sauti inaingiza. Mwanzo ilianza kwa TV kuzima na haikuwa inaingiza moto lkn fundi alifanikiwa kurudisha Moto na ikawa inatoa sauti akanishauri nitafute motherboard kwamba display yake imekufa .Msaada kwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma lyamungo na umbwe high school tu.

    nachokumbuka bhana tulicheza mechi ilikuwa maticha wa umbwe vs lyamungo ila tukacheza baadhi ya wanafunz tulienjoy hatukuwa na bifu tena pia misa na ibada za pamoja na kombo kugombania mademu huh huh huh ni shidaaaaaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

    zitto mchango wake ndani ya chadema utafananiaha na nani? wengine hao vibaraka tu waende tu.....Always Zitto is the best
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nbaa revised syllabus

    Daa bado nina safari hapa nachukua degree 2nd year accounting and finance. Km ndo huo utaratibu umebadirika nomaaaa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta aipatia Bao TP Mazembe (Live hivi sasa)

    Dogo anajua
  9. K

    JamiiForums Tanzania continuing students waliopata mkopo!

    Bado man hapa pia Mzumbe haijulikan naona wapo kimya hata haieleweki maana km ni fisadi hata wao wanastahili hilo jina haiwezekan tutume mara tatu zote bado tukose izo hela c ni bora hata ningepeleka kwa watoto yatima kuliko hawa mafedhuri
  10. K

    JamiiForums Tanzania Heslb tunaomba tamko kwa wanafunzi wa mwaka wa pili

    Wkt bunge limekaa ilipitishwa hoja ya kuwaangalia upya wanafunzi waliokosa mikopo kwa mwako wa masomo 2012/13 na likaamuru bodi kuwaangalia upya wanafunzi wanaoendelea na masomo na likaja na hoja kwamba wanafunzi wote waliokosa mikopo watume tena upya. Lakini mpka leo hii nayaandika haya hakuna...
  11. K

    JamiiForums Tanzania kuhusu contiuning student wasio na mkopo

    we upo chuo gani xor@frank
  12. K

    JamiiForums Tanzania kuhusu contiuning student wasio na mkopo

    Kwa wale continuing student waliomba loan mwenye info imefikia wapi mpka xaxa maana naona kimya hata haileweki. Kwa wale mliokwisa fungua vyuo vp majina yameshatoka au km kawaida ya kibongo? Tuhabarishane jaman
Back
Top Bottom