Recent content by kibwengomwitu

  1. K

    JamiiForums mkuu wa it baraza la mitihani asimamishwa kazi.

    safi sana bado wapo wengi hao wametumwa si bure ila lengo lao kwa uwezo wake m mungu hawatofanikiwa
  2. K

    JamiiForums Mh jk hili la kuliangalia tena

    Nimefuatilia kwa ukaribu sana na nimegundua kila ifikapo mwisho wa mwaka skukuu ya Christmas serikali hutoa fungu kwa wizara zake tofauti kwa ajili ya maandalizi ya skukuu hiyo kwa kukodi wazabuni kwa ajili ya kupamba ofisi za serikali na kutoa posho kwa wafanyakazi wote ni jambo zuri ila kwa...
  3. K

    JamiiForums Utapeli wa chuo kikuu cha dar -es salaam {udsm}

    Nashukuru kwa mawazo yako next time nitarekebisha.
  4. K

    JamiiForums Utapeli wa chuo kikuu cha dar -es salaam {udsm}

    We kweli ni kipofu aliyetapeli kuvutia wasomaji na wachangiaji ili aokoe pesa za watanzania wengine na aliyevutia wanafunzi ili wakose elimu na yeye apate pesa kwa utapeli bora yeye kweli sisi wa tz tumerogwa.
  5. K

    JamiiForums Utapeli wa chuo kikuu cha dar -es salaam {udsm}

    Mr nawe ni mmoja wao nini au ndugu yako maana sikuelewi Fred kaajiriwa na nani COET ipo chini ya UDSM nae ndipo anapofanyia kazi pia fomu za kujiunga zina title ya UDSM na nembo yao kama sio utapeli wa Udsm kwanini wasimkataze kutumia ofisi na jina la Udsm kwa utapeli huu.acha mambo yako kua...
  6. K

    JamiiForums Utapeli wa chuo kikuu cha dar -es salaam {udsm}

    Habari wana JF UDSM kumekua na utapeli ambao unaendelea, miaka miwili iliyopita UDSM kupitia tawi lake la COET limetangaza kuanzisha kozi ya Record and Archives Management chini ya tapeli mkuu Mr Fredi Kabori ambae ndio cordinator mwenye shahada ya uhandisi,wanafunzi wengi sana walijiunga kutoka...
Back
Top Bottom