mkuu wa it baraza la mitihani asimamishwa kazi.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
amesimamishwa kufuatana na madai ya waislam.
itv news.
 
Ngoja nivute subira watakuja waropokaji sasa ivi na comment zao utasikia. Ya bwana chizi Waliropoka baada ya kupewa facts wakaweka mkia tumboni kama the dog!
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Huyo ni dagaa,katibu wa baraza na mkiti wa board prof.mukandala waachie ngazi
 
Wadau,

Kwa mujibu wa habari "za ndani" nlizozipata kutoka Baraza la Mitihani (NECTA) ni kua msimamizi wa kitengo kilichohusika na ukokotozi wa marks za Islamic knowledge amesimamishwa kazi leo na uongozi wa juu wa Baraza.

Usimamizi huo unaenda sambamba na madai ya waislam wengi kutaka aliesababisha asimamishwe.

Kwa mujibu wa chanzo changu ni kua bwana huyu alitaka kuua soo kwa style ya kuomba likizo kama anaenda kusoma lakini kuchelewa kwake kumemfanya akutane na haya.

Source;
Mdada mmoja hivi.
 
Mbona hiyo habari hata ITV wameitangaza kwenye taarifa yao ya habari ya saa mbili usiku? Huyo dada kachelewa kukutonya.
 
Naomba anayeweza kutuletea japo link ya hayo matokeo kabla na baada ya marekebisho ili nasisi tuchangie. Na yasiwe ya somo moja bali yote au mtu aya copy matokeo ya wale waliopata A tu ya Islamic knowledge sasa atuletee overall ya masomo yote ndo tujadili maana hapa wengine tunabaki washabiki wa kusoma tuuuu
 
Huko kuna madudu mengi sana wanaofanyiwa Waislaam, tume huru tu ikachunguze kwa undani madai ya miaka mingi ya Waislaam, yaunganishwe na yale waliolalamika Zanzibar juzi kuhusu NECTA.

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
 
Baada ya matokeo ya Islamic Knowledge kutolewa upya wala sioni tofauti manake alama F ni za kumwaga sasa cjui wamepata faida gani sasa..
 
Mbona hiyo habari hata ITV wameitangaza kwenye taarifa yao ya habari ya saa mbili usiku? Huyo dada kachelewa kukutonya.
bwana weh... ndio hao wanaosikia kwenye vijiwe na kuleta kama breaking nyuuz

habari ina masaa kibao, imeletwa media saa kumi na nusu
 
Ivi somo la islamic knowledge huwa lina faida gan kwa mwanafunz zaid ya kufundishwa ugaidi?
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Back
Top Bottom