Recent content by Kibwangai

  1. K

    Oooh!! Sinta

    Msichana akinenepa!
  2. K

    Lulu: Sidanganyiki hadi kwaresma iishe

    Haya mambo ya kutafuta skendo!sasa amemuua Kanumba ktk harakati zake!
  3. K

    Kiswahili chafa

    Kama tutatilia mkazo matumizi ya kiswahili fasaha hasa ktk shule na vyuo,hakutatoke uharibifu wa lugha 'english speaking policy' kwa anayetaka! Hapo kisw. Hakitaonekana kama lugha ya makabwela,na kitazungumzwa kwa ufasaha.
  4. K

    Kiswahili chafa

    Kiswahili lugha ya makabwela!tunaipa bendera ya taifa heshima inapopandishwa/kushushwa halafu shuleni utaambiwa kuna 'english speaking policy' ukiongea kiswahili unabebeshwa bango linakokudhalilisha!tuna nia ya kukiendeleza kiswahili?kama hatukiheshimu kiswahili(mf shule nyingi za sek) hakuna...
  5. K

    Etv-south africa

    Nimeiona hio Top v bei yake ikoje
  6. K

    Etv-south africa

    Decoda ipi (jina)sh ngapi?na frq na code zake-kuna kipindi flan nilisikia dstv wana uza chnl 25 kwa sh 13500 vp nikinunua hii kuna uwezekano wa kupata etv
  7. K

    Ni mikoa gani hapa bongo inaongoza kutoa totoz za ukweli?

    Amakweli nabii hakubaliki kwao!!
  8. K

    Etv-south africa

    Ni kwa ajili ya WWE!@THE EAGLE
  9. K

    Ni mikoa gani hapa bongo inaongoza kutoa totoz za ukweli?

    Huwa ni rahisi kuanzisha uhusiano/urafiki wa kimapenzi hata na watoto wa kihindi lkn tatizo kwao watakukataa,sasa subiri wakati unaenda kujitambulisha!@leonard
  10. K

    Etv-south africa

    Wana Jf naomba frq za ETV pamoja na code zake natumia Mediacom 950+new,nilikuwa nayo mwanzoni lkn ilikuja potea baadae
  11. K

    Ni mikoa gani hapa bongo inaongoza kutoa totoz za ukweli?

    Nadhani unayajua/umeshayasikia mashuka ya kimasai!na wazungu huenda kuushangaa utamaduni huo!kwani wamasai wana viwanda vya kutengezea hayo mashuka?@ kongosho
  12. K

    Alinikimbia.... anapiga goti.

    Mnyaturuuuuu!amochaaaa
  13. K

    Ni mikoa gani hapa bongo inaongoza kutoa totoz za ukweli?

    Masharti ya kuoa manyara ni rahisi sana!lkn yanaweza kuwa magum!kwani ni lazima uwe mrefu(kimo) hawataki mbegu fupi@Leonard
Back
Top Bottom