Recent content by KIBWAGALA

  1. K

    Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    Dah we jamaa umenikumbusha mbali, Nilianza Milambo Form five mwaka 2007, Siku yakwanza mwalimu Majubwa akapigwa risasi tukaamshwa usiku. Wiki chache Kunajamaa tulikuwa tunalala nao Sokoine wakagombana mmoja akamkata mwenzake koromeo, dah! Hapo nilitaka kesho nihame, Lakini baada ya mwezi...
  2. K

    Wewe huna ila wenzako wanazo

    Dah! Nimeliona pia leo, nimelifatilia almost 10min, nadhani nimwarabu
  3. K

    BOA Bank mnaboa, huduma zenu haziridhishi

    Hawa jamaa sijui wanashindana vipi na soko? Several times nimeenda pale branch ya Nyerere zamani Airport, mara nyingi unakuta watu watatu ktk foleni, counter ziko tatu but it can take you hours kuhudumiwa and no one seems to care. Nafikiria kuhama bank, hawa watu hawako serious kabisa!
  4. K

    Rais Kikwete atangaza Novemba 5, 2015, kuwa siku ya mapumziko

    Mnalaimu! Kuna mtu kawakataza kwenda kazini? Mimi binafsi kesho naenda ofisini hakuna atakayenizuia, wengine mnalalama wakati kila siku mnaamka saa mbili, kama unamaanisha nenda kapige kazi hapo hakuna atakayekwambia kaa mita 200
Back
Top Bottom