Huyo anajichafua mwenyewee! List anayo alaf anakaa kimya kwa 7bu gan? kwa hiyo tuseme naye ni muusika? Ni ujinga tuu! Kama aliwataja toka mwanzo wala haya yote yasingetoke! Kaoza anasubiri kunuka tuu!
Na kwel hata sura yako inaonyesha umechoka kufikir ndo maana mnaishia kupiga tu coz zimebakia nguv za kupiga na sio akil za kufikiri! Ndungai uko juuu!
We unafikiri sugu ni mtu ambaye unweza kudhulumu haki yake kirahic kama hao mnaowadhulumu haki zao kwa buku mbili? Yuko tayar kufa kwa ajili ya haki za wananchi. Kwan ni wangap wamefungwa kwa ajili ya kutetea haki za raia? Mda wenu umeisha sasa. Bora yy mshenz kuliko wewe mjinga unayedanganywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.