Recent content by kibuyu180

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anakataa baba yangu kufikia nyumbani kwetu kila anapokuja mjini, nifanyaje?

    Hii simulizi ilishawekwa FACEBOOK. Wewe ni dhaifu mbele ya mkeo, ndugu zake wanakuja. Acha kuwa bwege wewe
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

    1. Makete 2. Mafinga / Mufindi 3. Lushoto 4. Tukuyu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wife hapendi niwe namchungulia utupu wake

    JF siku hizi kuna mada za kitoto sana. hii kweli ya kuleta hapa?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Upi ni muda mrefu uliokaa bila kufanya mapenzi?

    miaka 3
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kumfikisha mwanamke Kileleni (Mfanye mwanamke wako akojoe kwanza kabla yako)

    Mwanamke akikupenda ni rahisi kumkojoza kwani anakuwa na hisia nawe. Kama hisia nawe zimekata hata umlambe kumnyonya siku nzima bure tu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

    Pole sana kaka. kama zamani alikuwa na hisia nawe na sasa hana kuna sababu; 1. Uliwahi kumtesa kihisia? kumsaliti labda, kumtukana 2. Umekuwa busy sana humpi muda wa kuwa nae karibu kama mwanzo. Humtumii jumbe za mapenzi wala kupiga simu 3. Huna ubunifu katika tendo. kama hayo yote sio kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ampa onyo kali Juma Lokole kuhusu Mume wake.

    Juma Lokole ni wa kuachana nae tu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wahi Shamba zuri sana linauzwa lipo Kisarawe

    Za kazi mkuu? Nimeona ofa yako 2.5. Kisanga sasa ni 3.5M hadi 3M kwa mashamba ya kutegemea mvua. Langu lina maji; ni umwagiliaji kilimo cha uhakika mwaka mzima. Nipo tayar kupunguza hadi 4.5M Ni shamba zuri sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wahi Shamba zuri sana linauzwa lipo Kisarawe

    Bei ni 5M kwa Ekari, kwa mteja mwenye uhitaji karibu tuzungumze.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wahi Shamba zuri sana linauzwa lipo Kisarawe

    Nimekuelewa mkuu. 👍
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wahi Shamba zuri sana linauzwa lipo Kisarawe

    Hapana ni langu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wahi Shamba zuri sana linauzwa lipo Kisarawe

    Nauza shamba langu lipo Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Kisarawe, kata ya Kisanga, kijiji cha Kitunda. Lina ukubwa wa Ekari 6. Udonga safi sana wenye rutuba. Lina maji ya kutosha lwa kilimo cha umwagiliaji kwa muda wote. Kilimo cha pesa ni maji ya uhakika. Wala huna gharama ya kuchimba kisima...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mademu wanajifanyaga hawapendi ila ndio zao
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyo demu bata alikataa kuzuga tu
Back
Top Bottom