Recent content by KIBONG'OTO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi

    asante nimekupata mkuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi

    asante mkuu kwa ushauri wako
  3. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi

    asante mkuu nimefikia uamuzi wa kumuacha
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi

    nimekupata mkuu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi

    nimekuelewa mkuu ,na nimeamua kufanya maamuzi magumu ya kumuacha.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi

    nimeona asomeki nimeamua kumuacha kabla ajaniacha
  7. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi

    ndomana nimeamua nijiweke pembeni mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi

    Nashukuru sana wakuu kwa ushauri wenu nitaufanyie kazi na nimefikia maamuzi bola niachane naye naona kama napoteza muda kuwa na mtu ambaye hana upendo na mimi na nikiendelea kuwa nae ataniletea matatizo na jambo linaweza kuniathiri sana katika shughuli zangu binafsi na nimeona bola nianzishe...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi

    Wakuu huyu mwanamke nimekuwa nikimpenda sana kiasi kwamba niliamini kwamba anaweza kuwa mke wangu wa baadaye wala sikutaka kumchezeya ,nimekuwa nikimsaidie mambo mengi kiuchumi na kumpa zawadi ndogondogo na nilimwambia kabisa dhumuni la kuwa na yeye ni kuwa mke na mme wa baadaye lakini bado...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Msata

    mungu awatangulie
  11. K

    JamiiForums Tanzania Simba wapiga deiwaka Arabuni (picha)

    mh! Hii kali.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke simuelewi

    Wakuu naombeni ushauri kuna mpenzi wangu tuna muda wa miezi mitatu sasa katika mahusiano yetu, ila simuelewi nikimpigia simu anachelewa kupokea au asipokee kabisa ni kimuuliza tatizo nini anatoa sababu zisizo za msingi, mara nyingi mi ndo mpigaji sana wa simu na nikikaa kimya kuto kumpigia...
Back
Top Bottom