KIBONG'OTO
Member
- Jan 19, 2013
- 12
- 0
- Thread starter
- #41
Nashukuru sana wakuu kwa ushauri wenu nitaufanyie kazi na nimefikia maamuzi bola niachane naye naona kama napoteza muda kuwa na mtu ambaye hana upendo na mimi na nikiendelea kuwa nae ataniletea matatizo na jambo linaweza kuniathiri sana katika shughuli zangu binafsi na nimeona bola nianzishe maisha yangu peke yangu na naamini bila yeye sito shindwa maisha.