Recent content by kibongemdudu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama huyu anayeondoka alikuwa na kidigrii kimoja tu kauza kila kitu je huyu mwenye phd itakuwaje???

    Je huyo anaewekwa hapo na wafanyabiashara tukimpa nchi si atageuza duka anabebwa na wafanyabiashara itabidi aludishe pesa za watu huyo wa huko hafai kabisa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ccm tuhurumieni wananchi tuna hali ngumu acheni tuongozwe na wengine msitulazimishe

    Unategemea lowasa atagawa hela usibweteke fanya kazi
  3. K

    JamiiForums Tanzania KOMBORA za Mwisho Kuanza Kurushwa Oktoba 01

    Hata kama tunaichukia ccm ila ni chama kipi kina kheri mpaka tukichague
  4. K

    JamiiForums Tanzania Field Marshall Mwigulu Nchemba aiteka Karatu kwa Kishindo cha ajabu

    Nanyi Chadema unatumia mitandao ya jamii kama ngazi kwenu kila kitu ni nyinyi mpaka mnakera nadhani wengi wenu ni majobless
  5. K

    JamiiForums Tanzania Moro na Dodoma Ngome kuu za CCM

    Acheni siasa za maji taka huu ni uchaguzi usione watu wengi kwenye mikutano ukaisi mtashinda mfano tanga ni vigeugeu utaona magufuli atakavya shinda tanga hamta amini vimacho vyenu ccm wana makundi ya watu kila sehemu ya nchi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dr Magufuli mbona anapaniki kimemkuta nini siku za hivi karibuni!

    I Unafaa ww na huyo mgonjwa wenu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nakasirika kijana chini ya miaka 45 kushabikia CCM

    Lowasa kala ujana wake ccm kaja huko ufisadini mzee acha ulofa
  8. K

    JamiiForums Tanzania CCM yaanza kampeni ya anga kwa anga, yabadilisha kutoka barabara kwa barabara

    Ila wetu si mgonjwa wenu analazimika kupanda chopper lazima
  9. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    Poleni sana na fikra potofu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mdahalo huru wa wanachama wa JF kati ya TeamUKAWA na TeamCCM hapa hapa JF!

    Hatujakimbia ila for me sijajua unaulizaje au unajibuje niliuliza swali sikujibiwa mdaharo wa kiyoto huu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mdahalo huru wa wanachama wa JF kati ya TeamUKAWA na TeamCCM hapa hapa JF!

    Afya mnakua mgombea wenu afya yake sio nzr je hamuoni kwamba siku akimaliza kampeni na uwezo wa kuongoza hata kuwa nao kama atashinda uchaguzi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mdahalo huru wa wanachama wa JF kati ya TeamUKAWA na TeamCCM hapa hapa JF!

    Kwa jina naitwa kibongemdudu team magufuli
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Kila kitu nyie kwenu kibaya basi fanyeni utafiti wenu na mseme asilimia ngapi mmeshinda
  14. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

    Ndugu Mingoi Kwa Hiyo unataka kukuambia wananchi wa Libya wanamaisha mazuri kuliko wakati wa Gaddafi? Fikiri kwanza Fanya utafiti kabla ya kunena
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini, Amani Walid Kabourou akataliwa mbele ya Dr. Magufuli

    Mbona alipo maliza mdee watu walikua nyomi zaidi acheni ushibiki wenu wa maji taka
Back
Top Bottom