Ccm tuhurumieni wananchi tuna hali ngumu acheni tuongozwe na wengine msitulazimishe

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
371
Mm binafsi napenda kutoa ombi kwa ccm kuwa watuache jamani hali yetu sisi ni mbaya sana akama wananchi sasa watuache yaani wasituumize kwani tupo taabani kiuchumi wananchi, isitoshe wametuongoza muda mrefu na hakuna nafuu yoyote
 
Tulia tu Magufuli anakuja..atayamaliza yote hayo. si ccm wala chadema itaenda ikulu..kiongozi ndo anaenda ikulu. mpe JPM kura yako na utakuwa na amani.. Usisahu hao wanao kuambia wanakumetea mabadiliko ndo walipewa kazi na wakashindwa..hawana jipya tena watacopy yaleyale. Magufuli Rais!!
 
Ndg yangu hili dudu litakutesa hadi upate akili vinginevyo tusubiri miaka 50 mingine ya maumivu
 
Tulia tu Magufuli anakuja..atayamaliza yote hayo. si ccm wala chadema itaenda ikulu..kiongozi ndo anaenda ikulu. mpe JPM kura yako na utakuwa na amani.. Usisahu hao wanao kuambia wanakumetea mabadiliko ndo walipewa kazi na wakashindwa..hawana jipya tena watacopy yaleyale. Magufuli Rais!!

Magufuli wa kijiji chako ehh?
 
Back
Top Bottom