Field Marshall Mwigulu Nchemba aiteka Karatu kwa Kishindo cha ajabu

Mr Chin

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,625
1,024
12039524_430199090515658_6051529741741980894_n.jpg


12043106_430199550515612_2776231540165560381_n.jpg


11990570_430199540515613_5714294397839150603_n.jpg


12027662_430199607182273_2896717554393926723_n.jpg


12074514_430199673848933_2879248117417103979_n.jpg


11049607_430199623848938_2305083269899712315_n.jpg


12032195_430199123848988_5236333615696261656_n.jpg


12036524_430199103848990_6446564096878242184_n.jpg


12063772_430199323848968_4585606404867147481_n.jpg


12046997_430199257182308_2090153599087345957_n.jpg


12046633_430199163848984_6795222543790055886_n.jpg


12042981_430199400515627_7508373059527378575_n.jpg


12039732_430199097182324_7989356574493587649_n.jpg


12065658_430199173848983_534842128867397675_n.jpg


12037974_430199300515637_742677716476280251_n.jpg


12079072_430199253848975_736900930731046121_n.jpg


12036842_430199307182303_1217169874753760056_n.jpg


11227391_430199317182302_8048029711311718357_n.jpg


12063441_430199410515626_7917034685256624276_n.jpg


12072703_430199390515628_4030935693795271781_n.jpg



12065710_430199467182287_1903253996762271429_n.jpg


12063824_430199600515607_4785432173111972040_n.jpg


11250085_430199730515594_6077443225509773548_n.jpg



Hii ndio CCM. Hatuna fujo wala makelele kama debe tubu. Huyu ni Field Marshal Mwigulu Nchemba anaendelea kuiteka Tanzania Jimbo baada ya jimbo huku UKAWA wakiwa midomo wazi. CCM haina mpinzani zaidi ya wasindikizaji tu.

Na. Mr Chin
 
Duh!!! yaani CCM mnavyoishi bila kumbukumbu hivi mleta mada unaweza kutukumbusha pale Mwigulu alipokuja na chopa hapo Karatu wakati ule wa chaguzi za serikali za mitaa mliandika nini? na matokeo yalikuwaje baada ya uchaguzi? CCM mliambulia vitongoji na vijiji vingapi hapo karatu?
 
Ccm wamezoea kuwahadaa watanzania kana kwamba anachakuwaambia kipya zaidi ya ngonjera. Wananchi wa karatu wako 100 mile ukilinganisha na akili ya mwigulu. Wanamsikiliza tu na wakiondoka watamjadili hadi wanakosa chakuongea. Karatu wameelimika sana, na hawadanganyiki. Wanajisumbua hawajui anayegombea ubunge Karatu ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya jimbo katoliki la Mbulu, mtu ambaye tangu 2000 watu walitarajia angegombea na anapendwa na hata watu wa ccm kwani anafahamika kwa umahiri wake na uchapakaji kazi wake achana na elimu yake.
 
Kwenye picha wananchi wamevaa nyeupe, bluu na nyekundu. Wanataka mabadiliko. Lowasa 2015

Viva UKAWA
 
Duh!!! yaani CCM mnavyoishi bila kumbukumbu hivi mleta mada unaweza kutukumbusha pale Mwigulu alipokuja na chopa hapo Karatu wakati ule wa chaguzi za serikali za mitaa mliandika nini? na matokeo yalikuwaje baada ya uchaguzi? CCM mliambulia vitongoji na vijiji vingapi hapo karatu?

Kipindi hiko Slaa hajatukanwa!
 
Nanyi Chadema unatumia mitandao ya jamii kama ngazi kwenu kila kitu ni nyinyi mpaka mnakera nadhani wengi wenu ni majobless
 
Kwa ufupi tu.

Nipo Karatu. Jana Mwigulu alifika hapa Karatu kama saa 11:34 jioni.
Akaanza kuhubiri MAMBO YAKE YA KILA SIKU.
Akaanza kuwaita watu wa upinza NYUMBU na hapo ndo ghafla zomea zomea kubwa sana ilianza hadi kusikika mji mzima wa Karatu na Mwigulu akashindwa kuhutubia na kusema "dawa ndo imewaingia".
Hakuwa na jinsi Mwigulu zaidi na kubadirisha mada na kisha kufunga mkutano kwa aibu.

Hiyo ndo hali halisi ilivyokuwa jana Karatu alipokuja huyo Mwigulu wenu.
 
Mboma ukawa mnabwabwaja sana? maneno Yote Haya mnayoongea na kujifariji, natumaini mmeshaanza kufikiria nani atakuwa mwenyekiti wa chadema Mara baada ya Magufuli kuapishwa, Lowasa kuachana na siasa na Mbowe kutakiwa ajiuzuru kwa kukipotosha Chama. Picha za ccm za uongo, Ila za kwenu ndo za ukweli? Acheni mahaba hadi kwenye macho. #HapaKaziTu
 
Back
Top Bottom