Recent content by Kibona_Son

  1. K

    Ibrahim Lipumba aendelea na Ziara zake

    Press conference
  2. K

    Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

    Mmmh...! kumbe mikutano na vikao vya ndani vya DAR vilisharuhusiwa isipokuwa vya BK ni tatizo
  3. K

    UKAWA ni adui mwingine Tanzania

    Akili za kuambiwa changanya na zako. Iko vizuri Pia UKAWA wanadhani kuzuia Bunge lisionekane moja kwa moja litawaathiri CCM, kumbe wananchi tuliowatuma wao pia tunakosa mahali pa kuwapima namna wanavyofanya kazi. Wameamua kujificha tusiwaone ili kufinya udhaifu wao. Na hatari ya kujificha...
  4. K

    Kumbe inawezekana kutangaza matokeo ya uchaguzi ndani ya masaa 24

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetoa somo hilo kwa kutangaza matokeo ya Raisi wa Zanzibar ndani ya masaa 24. Tangia vituo vya uchaguzi vifungwe saa kumi jioni ya Jumapili ya tarehe 20/03/2016 na kabla ya saa kumi jana matokea yakawa yapo tayari. Hili liwe funzo kwa Chaguzi zijazo. Swali...
  5. K

    Viongozi Wengine Duniani Waliopata zaidi ya 90% kwenye Uchaguzi

    Ameingia rekodi ya dunia kwa kulazimisha ushindi kwa kutumia mfumo wa kujitengenezea na serikali yake na si sanduku la kura.
  6. K

    DC wa Iramba ajitumbua mwenyewe

    Ameona kwa utawala huu propaganda za kisiasa hazipo, kilichopo ni kufanya kazi kwa vitendo na si kukaa ofisini tena. Ni bora ameliona hilo na kujiondoa mwenyewe.
  7. K

    Serikali kuunda Mamlaka Kuu ya Mapato ya Taifa

    Nasubili kwa hamu sana Mamlaka Kuu ya Mapato ya Taifa itakavyokuwa inafanya kazi.
  8. K

    Saed Kubenea akamatwa, aunganishwa kwenye Kesi ya Mdee

    Haya ni makovu ya uchaguzi mkuu uliopita, yataisha uchaguzi mkuu ujao ambao utatengeneza mengine. Hivyo hii staili ya kukamatana hataisha na hii misuguano itaendelea daima
  9. K

    Mkaguzi wa ndani abaini uozo zaidi zaidi Jiji la Arusha

    Kazi nzuri ya mkaguzi wa ndani na utaalamu uheshimiwe, hapo kutakuwa na maendeleo kwa nchi na wananchi.
  10. K

    CUF yatangaza kutoshiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

    Ahsante msimamo thabiti na mzuri kabisa!
  11. K

    Mtazamo wangu kuhusu Elimu Bure

    Nitaafiki na kuunga mkono kuwa kuna Elimu ni BURE iwapo tu watoto wa wakubwa Serikalini wataanza kusoma shule zetu sisi tunaoambiwa elimu ni BURE na sio shule binafsi. Kwani hii itapelekea kila mkubwa kuwa na uchungu na shule hizo na kuzisimamia kwa nguvu zote nah ii itasaidia uboreshaji wa...
Back
Top Bottom