Kibona_Son
Member
- Dec 31, 2015
- 12
- 5
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetoa somo hilo kwa kutangaza matokeo ya Raisi wa Zanzibar ndani ya masaa 24. Tangia vituo vya uchaguzi vifungwe saa kumi jioni ya Jumapili ya tarehe 20/03/2016 na kabla ya saa kumi jana matokea yakawa yapo tayari. Hili liwe funzo kwa Chaguzi zijazo.
Swali langu ni kwa nini Matokeo yalikuwa yanachelewa kutangazwa kwa chaguzi zilizopita?
Swali langu ni kwa nini Matokeo yalikuwa yanachelewa kutangazwa kwa chaguzi zilizopita?