Recent content by KIBONA284

  1. KIBONA284

    Waziri Angella Kairuki apewa onyo na Waziri mkuu kuhusu zoezi la uhakiki kutofikia mwisho

    HATA UHAKIKI UISHE BILA IDHINI YA ALIYEFUNGIA AJIRA SIDHANI KAMA ZITATOKA
  2. KIBONA284

    Rais Magufuli kesho wafute machozi vijana wanaosubiri ajira

    DUH SIJUI KAMA ATAKUMBUKA
  3. KIBONA284

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    kiukweli serikali inakataisha tamaa sana, yan wanakera sana, maneno tu vitendo hamna
  4. KIBONA284

    Asante Magufuli kwa kutupa elimu bure

    ni kweli wanasoma bure, swali je elimu waipatayo ni bora?
  5. KIBONA284

    Sijamuelewa Simbachawene kuhusu ajira za walimu

    HILI SUALA LIPO MIKONONI MWA MAGUFULI YAANI AKIAMUA HATA LEO AJIRA ZINAWEZATOKA HAO WENGINE HAWAWEZI KUSEMA CHOCHOTE
  6. KIBONA284

    Prof. Baregu apinga ripoti ya Twaweza. Adai Rais Magufuli anaminya demokrasia

    wakweli kama wangeutoa januari na sio sep, kiukweli mambo magumu sana kitaa
  7. KIBONA284

    Matukio haya yamefanya wananchi wawe na imani na sisi sana, tusikate tamaa, CCM itang'oka

    MBONA HII HABARI INACHANGANYA, KWELI HAMNA MAMBO MENGINE YA KUKEJELI ZAIDI YA HAYA
  8. KIBONA284

    Utafiti wa Twaweza: Watanzania 96% wanampongeza Rais Magufuli

    HAWA TWAWEZA WANAWEZA WAKAWA WAKWELI JUU YA KUKUBALIKA KWA MKUU WA KAYA KAMA UTAFITI ULIFANYIKA TANGU ACHAGULIWE MPAKA MIEZI YA TATU NNE IVI. LAKINI KIUKWELI HIVI KARIBUNI UPEPO UMEGEUKA SANA KILA KIJIWE CHENYE UKIKATISHA HUKU MTAAN KWETU WANANCHI WANALALAMIKA JINSI HALI ILIVYO NGUMU KWAIYO...
  9. KIBONA284

    KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    KUSHINDWA KULIPA HELA YA FIELD YOTE NI INDICATOR KUWA HAWANA PESA NA HAWAWEZI KUAJIRI BILA PESA
  10. KIBONA284

    Watumishi Hewa ni Maigizo ya Serikali, Mbona Waliohusika Hawataji au Ajira Zilitoka Mbinguni?

    KIMEKUWA KAMA KISINGIZIO ILI KUCHELEWESHA AJIRA MPYA
  11. KIBONA284

    KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    KUNA KILA DALILI KUWA INAWEZEKANA HALI YA FEDHA SI NZURI NDIO MAANA AJIRA MPYA ZIMESITISHWA NA SABABU ZITOLEWAZO INAWEZEKANA NI KIKI TU MUDA USONGE MBELE, MFANO MDOGO NI KUWAPA WANAFUNZI HELA YA FIELD NUSU BILA SABABU ZA KURIDHISHA. WE FIKIRIA RAISI WA NCHI(MKUU WA NCHI) ANAAHIDI HAITAZIDI MIEZI...
Back
Top Bottom