Pole sana mkuu, hongera kwa mipango mbalimbali ya maisha unayoendelea nayo. kujenga ni swala la msingi na kila mtu anapenda kuishi kwake.Jambo kubwa ni mawsiliano kati yako na mke wako. Ni kweli watu wengi wanaongozwa na hisia hivyo kutokuwa na msimamo wa mipango ya maisha kama ulivyomuonesha...
Watu wakiishiwa na hoja wanayazua mengi sana. Hiki ni kipindi ambacho watu watz wengi wanaweka akili zao mifukoni na kutumia hisia. Watoa mada angalieni sana maana uongo unakolezwa walioweka akili mifukoni wanaweza wanaweza kuunga mkono tu, ndio akili akili si wameweka mfukoni.
Sina hakika kama kwa sasa tunamuhitaji raisi aina ya Membe. Tunahitaji jembe imara zaidi litaloenda zaidi ya pale alipoisjia Mh. Dr. Prof. Risi wa sasa.
Watu wakichoka wamechoka, wakikuchoka wamekuchoka, wakichoka chama na watu wao wamekichoka.
Lema is very strong na Arusha hawataki mtu legelege wala chama legelege.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.