Zoezi LA kuhamisha walimu kwa mijini ni kubwa kwani kuna maafisaelimu waliopokea rushwa na kuwajaza walimu shule moja mijini had I walimu wanakosa vipindi vya kufundisha.ushauri wangu pamoja na kuhamisha walimu kwenda mdingi maafisaelimu wore waliohusika wawajibishwe ili jambo ili lisitokee tena.
Mkuu polisi kituo cha polisi bomangombe Hai, ana matatizo makubwa ya kiutendaji na tunamuomba IGP atusaidie kumhamisha na afanyiwe uchunguzi. Ni mpokea rushwa mkubwa,ni mbinafsi,na anaendeleza majungu ndani ya jeshi LA polisi. Yapo matukio mengi anayafanya ya kiutendaji bila viongozi wake...
Ushauri WA bure Kia serikali,ya units kukamilika watumishi wote w wizara ya madini waliopo ofisi za madini mererani wahamishiwe ofisi za madini Nikos mingine. Itasaidia serikali kukusanya n kukupata na kukusanya mapato makubwa.
Sheria mpya inasemaje kuhusu malipo ya application ya pml na pl? He pml bado ni tsh 50,000 au ni 20,000? He PL ni dola 300 Au ni dola 100?tumeshindwa kuelewa cha kufanya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.