Kama waislam wote wangeikubali mahakama ya kadhi, kusingekuwa na ulazima wa kuingiza suala hili kwenye katiba.
Wanaomba mahakama hii iingizwe kwenye katiba na sheria za nchi kwa vile baadhi ya waislam hawaitaki ili serikali iwasaidie kuwabana waislamu wasioitaka mahakama hii ya kadhi...
Hapa upo sawa kabisa mkuu.
Na kwa hoja yako hii hakuna hata haja ya kulazimisha mahakama ya kadhi kuingizwa kwenye katiba.
Mwislam yeyote atakayekataa kutii maamuzi ya kadhi na kukimbilia kwenye mahakama za makafiri, AKATWE KICHWA.
LAKN NA WEWE UWE TAYARI KUKATWA KICHWA KWA MATENDO YAKO MAOVU.
Aha ha ha haaa.
Hee!
Kujadiliana na akili ya namna hii si rahisi kupata muafaka labda mpaka Yesu arudi.
E Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui walisemalo.
Kwani wewe unadhani kuwa wakristo wote wana akili ya kutambua madhara ya jambo baya kama hili?
Kuna wakristo wachache wenye ufahamu mdogo kama wewe ambao wanahitaji kukalishwa darasan ndipo waelewe kisa cha waislam kushupalia jambo hili.
Mwanawane, kwanza nakupongeza sana kwa uchambuzi wako wa kina juu ya mahakama ya kadhi.
Ukweli Wakristo hawaikatai mahakama ya kadhi
Wakristo wanachotaka ni mahakama ya kadhi isitambuliwe na sheria yoyote ya nchi pia isigharamiwe na Serikali yetu kupitia kodi za Watanzania.
Watu wengine bana! Sijui huwa wanakosa cha kuandika?
Mtakuja kubebwa mzega mzega kupelekwa Milembe kupimwa wakidhani mnaumwa. (Akili).
Siku nzima unakaa unafikiria cha kuandika hatimaye unaibuka na uoza kama huu?
Au unapenda kuona wangapi wanachangia hoja yako?
Wana jf, nawaomba yeyote mwenye link ya muundo (Proposed Organization structure) wa mahakama ya kadhi wa nchi nzima na bajeti yake aiweke humu ili tuweze kujua kwa undani gharama zake.
Hata kama asingekuwa ametumwa kugombea nafasi ya uenyekeiti, ni vigumu sana kwa mtu mwenye njaa kali kama mbarouk kuongoza cdm; ataiuza ndani ya miezi michache sana.
Mtu mwenye akili timamu na anayeishi bila kutegemea makombo ya ccm anajua madhila makubwa wanayopambana nayo viongozi wa cdm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.