Recent content by KIBINDU

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake weupe wenye big booty wanatesa sana kitaa.

    NAKUPENDA SANA MKE WANGU
  2. K

    JamiiForums Tanzania Namba mnisaidie ushauri nisome kozi gani na chuo gani kwa ufaulu huu

    HUMAN RESOURCES MANAGEMENT-MZUMBE
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tukiacha roho mbaya Marangu Kilimanjaro ni kama ulaya

    Kijiografia, malazi pamoja na huduma za kijamii pako vizuri sana. Wamarangu ni wakarimu ila usijitutumue mbele yao wewe kama mgeni a.k.a Chasaka. Mapungufu yao makubwa ni kuhodhi ardhi na kumiliki njia kuu za uzalishaji mali kunakopelekea mtu mgeni kutokutamani kuishi na kujitafuta kiuchumi...
  4. K

  5. K

    JamiiForums Tanzania Watu wameoza mtaani. Wakuu, tubaki njia kuu UKIMWI ni hatari

    Kisaikolojia inaonesha umetoka kupima hivi karibuni na majibu yamekuwa mazuri. Hongera na tunashukuru kwa kutualert
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ila nyumba za Chanika..Nyumba inapigwa make up inawaka kinoma

    Hizo huwa zinanunuliwa na watani zetu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

    WAZARAMO. Walimu wa walimu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Rio Ferdinand hapo Airport ya Dar, yamenipa maswali mengi kuliko majibu

    Ni sehemu ya utalii. Kila mtu afurahie haya maisha kwa namna inavyofaa bila ya kumkera mwingine.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani? Maana dawa zote zimedunda

    Kule upareni milimani wana jina la huo ugonjwa. Watumiaga nyama ya kima kama sikosei kuudhibiti.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sipendi tabia ya Mwanamke kujifanya hajui kilimchomleta faraghani

    Hiyo woiiiiih Nahisi Kiraracha
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Apps za kuangalia game za England kwa ku-cast na TV

    LIVE FOOTBALL TV. Unaipata kupitia search engine ya google na si play store
Back
Top Bottom