Recent content by KIBIKIMUNU

  1. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa mke wangu kaniunganishia kademu kazuri balaa

    Vitafunwa navyo vibichi na chai ya moto
  2. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Nataka KUHAMIA taasisi ya utafiti wa kilimo, Masters angalau Ni the best katika post hiyo.
  3. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania Mzee Juma Duni Haji na Shehe Ponda Wamtembelea Freeman Mbowe Gerezani

    Hahahahahaha
  4. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli: Vyama vya siasa Tanganyika ni CCM na CHADEMA, kule Zanzibar ni CCM na ACT wazalendo!

    Huu Ni UKWELI ulio wazi.......Hongera Sana for ure observations
  5. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tukifurika ( tukijaa sana mpaka pomoni ) Mahakamani ndiyo ataachiwa upesi au?

    Mzee wa spin DOCTOR.....VIJANA TUFANYE KAZI
  6. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania Namwombea Mshahara zaidi 'Spin Doctor' wa Siasa za Tanzania na Matukio yote Muhimu ya Kihisia

    Aiseeeeee, hakuna namna zaidi ya kutenda haki. Monitor kaadhibiwa kwa kupiga kelele darasani.
  7. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kuamini kuna Watu wanakula ‘Bata’ kiasi hiki!

    Ni laki na ishirini au milioni moja na laki mbili? Kama Ni laki na elfu ishirini hukuwa na haha ya kushangaa ...mbona hata hapa palm village , kahama watu wanatumia mpaka laki tatu na Ni kawaida.
  8. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

    Mleta Mada kabila gani? Labda tuanzie hapo
  9. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tengua kauli ya Waziri Ummy Mwalimu ya kusimamisha uhamisho wa watumishi

    Mkuu Kuna siku alitangaza kusimamisha Ila alisema kuwa anasimamisha wanaohamia kwenye miji manispaa na majiji, Ila sio kijijini.....huyu mleta mada ka generize na pengine huko kwako wanaohamia vijijini au ndio Yale ya MKONO MTUPU SIJUI HAULAMBWI.
  10. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania Kiufupi suala la kupigwa risasi Tundu Lissu ndo chanzo cha awamu ya Tano kuchukiwa nchi nzima

    Mimi KIBIKIMUNU Sina ushahidi wa kile alichosema mleta mada Ila ambacho naweza share nanyi hapa na ambacho najua nanyi mnakijua Ni hiki .....TUPENDANE WANADAMU KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. KIBIKIMUNU kwa Sasa nikiwa kwedizinga hapa HANDENI.
  11. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania Ndugu Nape pokea mchanganuo wangu wa dola 9 billioni alizokula Magufuli

    Sawa ! Umechanganua Ila mwamba alituambia kuwa "TUNAJENGA KWA FEDHA ZA NDANI AMBAZO NI ZA KWETU"......Huo mkopo hakuwahi kutuambia. Wewe na NAPE MHOJIWE.
  12. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, Baadhi ya wanawake wakipewa cheo kazi yao inakuwa ni kufoka na kuweka watu ndani

    Niliwaza Kama wewe mkuu, kwamba hii smsm sent to SHINYANGA
  13. KIBIKIMUNU

    JamiiForums Tanzania CCM inapaswa kuchunguza kiasi cha fedha kilichotumika katika ziara za Kinana na Nape?

    Halafu mleta mada unaweza kukuta Ni kiongozi kabisa w serikali na akija huku nyamihuu anataka tumsikilize na anatupiga mikwara. Yaani Hilo la nape mmesubiria awalipue ndio mjifanye hesabu zichunguzwe je Kama asingewalipilua maana yake mngekaa kimya? Ziara zimefanyika 2015 ....Leo ndio unakumbuka...
Back
Top Bottom