JPM hawa wahuni wasikutishe wasambaratishe kama ukungu wa Asubui wahuni hawana tena agenda, wapigwe tu tunachotaka ni maendeleo sio kelele na maandamano
mkitaka kushuhudia hilo njooni H/W ya Monduli iliyokuwa chini ya Lowassa sasa iko mikokoni mwa watiifu wake pitieni idara zote ziko mikononi mwa wezi wakubwa tena chini ya famiia moja miradi yote ipo chini ya kiwango
Kama kuna kosa Chadema wamelifanya ni hili la kumpa lowassa bendera yao ya urais mwaka jana kwa tamaa ya fisi wao wataona kwamba wameula kwa kuongeza ruzuku kwa baadhi ya majimbo ila ukweli ni kwamba sumu itakayao tafuna na kuwa maliza wao ktk ulimwengu wa siasa na ubora wa unafiki wa upinzani...
Chadema kimekuwa chama cha matapeli na wapga dili kimewauma 7babu JPM amewasambatisha wafadhili wenu ambao ndio mafisadi wakuu hapa nchini na uzuri woote wameshakamatwa, CHADEMA haina tena agenda yani Lowassa wamtukane miaka 8 leo hii watuambie ni msafi ni tapeli tu na mnafiki ndio atawakubali...
Yaani lowassa ndio amtishe JPM? Ukiona wanaongea hapa ujue ndio wale genge lake, msanii na muongo kama huyu eti jembe, labda kwa genge la matapeli na wapiga dili.
Yaani Lowassa kwa bahati nzuri katoka CCM na kokoro la wala rushwa na wapga dili, leo hii Chadema imekuwa kama ilivyokuwa Ccm...
Genge la matapeli pamoja na usanii wao kamwe hawataweza kufanikia daima. yeye ndio kamleta Namelok kwa gharama kubwa ya kuwatukana wananchi wa Monduli leo hii alivyo mnafiki na kigeugeu na mwenye uchu wa madaraka anamkataa na kula matapishi yake hadharani, wamasai hawawezi kuwa wajinga kiasi...
watz tuna akili nyepesi sana rahisi kusombwa na propaganda nyepesi, chafu na siasa zetu tumejenga juu ya kuamini viongozi ambao wengi ni matapeli na walaghai Dr Slaa kawaeleza ukweli ndio mana mnatokwa mapofu tena kwa aibu hawa maharamia amewanika peupe pee, lazima mtaisoma namba mbowe kaujuza...
bado ni mapema mno kusema lolote ila ukitaka kushinda vita vya adui wako lazima umpate kibaraka wa mwisho wa upande wa madui zako, huyu ndiye Lowass the most controversial politician in our Tz.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.