Recent content by kibate

  1. K

    Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Majufuri na magamba wana Phd ya kubeba watu kama uongo UDA ziko wapi mbona zimepungua hapa dar?
  2. K

    Mtatiro anapoteza jimbo kirahisi Segerea, CHADEMA wanahusika

    Kwani ccm siyo waroho wa madaraka?mbona hawakai pembeni?
  3. K

    Umakini: CHADEMA Urais mawakala watanunuliwa?

    Anyway kila mutu anayo mawazo yake hapa ni mabadiliko ya siasa siyo ya dini kwa mtazamo wangu
  4. K

    TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Sasa kuanzia leo push up ni mchezo wa kitoto angalia huyu hakuwai kusemwa kua anaumwa ila mda umefika katangulia so push up ni kumdhihaki mungu akikutaka hakuna push up
  5. K

    Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

    Mm ninawasiwasi na utafiti wa hawa jamaa wa twaweza kwa sababu zifuatazo; 1) kuna mapungufungufu kama a:wanasema Cuf ,nccr wanapewa asilimia wakati hakuna mgombea urahisi 2:jumla ya asilimia ziko 102% 3: hatukuambia methodogy ipi imetumika 4: sample size 5:caputured area 6;Age,genda, 7:conclusion
  6. K

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Kama utafiti wao uliangalia upande mmoja ktk kundi la wamams siyo vjana na akina dada na vijans hapo sawa ila kwa vijana na wadada ccm itapata 24% cdm 69%
  7. K

    Nyumbu

    Ila mm bado kichwa kinaniuma sana vijana wakimpenda mgombea wao ccm mnawaona hawajitambui tena mnatokwa mapovu hata wasomi ka Bana nae yuko mkumbo mmoja na ccm sasa mnisaidie mama zetu ambao ndo wanapata tabu ya maisha wao makishangilia ccm mbona hamsemi hawajitambui? Mm kwa mawazo yangu waache...
  8. K

    Mkutano wa Rais Mstaafu Mkapa, Bukoba Mjini uwanja wa Uhuru Platform (Mayunga)

    Mzee wa mgodi wa makaa ya mawe ?!!!!haya!! tuone waendelee kulitafuna taifa mpaka mungu akiwachukua mmojammoja
  9. K

    CCM yaonja moto wa mabadiliko uwanja wa Taifa jioni hii

    Yaani ni kweli kilichowakuta ccm ni aibu tupu ila wanachonifurahisha kila wafanyacho wanafeli
  10. K

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Tunataka kujua first lady wa mkapa yuko wapi ili tuamini matusi yake kama ya kweli mpumbavu ni yule aliyeshindwa kukaa na mwenzi wake ila kuhama chama si upumbavu ni ujasili
  11. K

    Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Yeyr tunampokea kuongeza cv za waliokimbia nchi ya raana kwenda nchi ya mungu ila cheo asahau labda aje agombee udiwani labda anaweza pata umea
  12. K

    Zembwela wa East Africa Radio, kama wewe ni CCM pole

    Kwani huyo zimwera kasomea wapi uandishi wa habari maana ni mtu wa maigizo au bichekesho so mjadili kwa kiwango chake cha uelewa
  13. K

    Vijana: UKAWA ni tishio la amani na usalama wetu

    Magamba mko kama hamjielewi au mmerogwa?ukionajitu unadhani lina akili kumbe jeupe kichwani ,mara magufuri msukuma mkaona nayo hoja? Mara muhaya,mchaga haongozi nchi hii!, nyambafu na ubaguzi wenu
  14. K

    CCM waaibika Arusha

    Haya majamaa yalinichekesha tulikua msibani huko kwetu kuna jamaa anaitwa karim akamtuma mwakilishi wake eti anakuja kwenye msiba anaomba mic kumnadi huyu karim kumbe hakujua peopleessss!!!wapo mbona alikiona
  15. K

    Ya Kandoro inatisha... Ajiuzia gari la TZS milioni 300 kwa milioni 2 tu!

    Acha umbulula disposal policy ni kwa viongozi tu na je utaratibu umefuatwa? Maana tunaweza sema disposal policy bila kujua kua nayo ina utaratibu kama procurement procedure!! So mtu akihoji si kosa let prove kama procedure ziko ok!!!
Back
Top Bottom